Yule binti hamnazo akakicharaza ya kipare na kuniharibia dili…!

Yule binti hamnazo akakicharaza ya kipare na kuniharibia dili…!

Aahahahahh, kumbe na wajanja huwa wanapatikana, pole kwa yaliyokukuta Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Dah... Nimecheka mpaka machozi aiseee!!! Hongera Mzee Mtambuzi kwa kuutendea vyema ujana wako
 
Last edited by a moderator:
Hariiika. Thimanya nikuinke pole kana hongera ambu uimanyje kutunga rae eeh! Mira hena kinru cha kujifundha.
 
Back
Top Bottom