Waione: Kaizer, Asprin, Mentor, charminglady, snowhite, Paloma, gfsonwin, King'asti, Mwita Maranya, Jiwe Linaloishi, Preta, marejesho, Arushaone, Filipo, Mzee wa Rula, PakaJimmy, jouneGwalu, Asnam, miss chagga, miss neddy, MankaM, Munkari, Tinapole ya nini sasa?..mie nimpe hongera
hongera Mtambuzi kwa kusaidiwa kufupisha uongo wako..who knows,pengine ungekuja jifunza kutapeli kwa gia ya mtoto wa balozi...ashukuriwe binti hamnazo..lol.....shikamooo
Dada nilitarajia ungenipa pole kwa fedheha niliyoipaa, hata hivyo yaliyopita si ndwele nimeshaganga yajayo
wewe ulikuwa unanipa pole kinafiki lakini mwalu kanipongeza kwa kuonyesha ushababi wangu enzi za ujana wa kufukuzia vimwana
huyo kwenye bold ni nani........yaaani hii stori imenifurahisha mpaka basi na imenikumbusha ile stori ya m...r
huyo kwenye bold ni nani........
Waione: Kaizer, Asprin, Mentor, charminglady, snowhite, Paloma, gfsonwin, King'asti, Mwita Maranya, Jiwe Linaloishi, Preta, marejesho, Arushaone, Filipo, Mzee wa Rula, PakaJimmy, jouneGwalu, Asnam, miss chagga, miss neddy, MankaM, Munkari, Tina