Yule anayethubutu kusema Lowassa Fisadi

Umesahau ya vijana 46 hao juzi waliopongezwa walikua wanafanya nini? Leo mefanya nini ya umeya? Chama chakavu bana
 
Hapa kuna wagomvi wa Lowasa wa siku Nyingi tu kati yake na baadhi ya watu,hao wataalam wa kucheza na akili za watu walifanikiwa 'spinning doctors' wakawateka wapinzani na watanzania wengi kwa kuuaminisha kuwa bwana Lowasa ni mwizi na FISADI Mkuu na BWANA JK alitumia vizuri sana karata kupitia ndugu NAPE Nnauye KUBWAGA na kupoteza Lowasa kwenye Njia ya kupata urais.

Kama mnakumbuka sawasawa NAPE alitumia mkataba wa jengo la Umoja wa vijana CCM TAIFA kumsema waziwazi Lowasa ,na kipindi hicho kama Sijakosea nape aligombea nafasi ya uenyekiti wa UVCCM TAIFA akakosa.

Binafsi na ujasiri wa Lowasa kuhama CCM na kwenda Upinzani Binafsi naamin hakuna ukweli wa kile kinachosemwa na kilichosemwa.leo hii tunaambiwa Lowasa anaukwasi wa kutisha ila tukisema vitajwe hakuna mwenye ushahidi ndio maana hata CHADEMA walimpokea baada ya kugundua wale waliokua wanawapa habari kuwa Jamaa mwizi hawakua wakweli,.
Ila kuhamia Upinzani isiwe tiketi ya kuachwa kna mwizi kweli
 
Ulafi wa madaraka unakimaliza chama cha machafuko
 
Na Mbacho zaidi ya Mara Tatu kinachukua ushindikimabavu aka ukurunzinza?
UKAWA jipangeni, fikeni vijijini hizi siasa za kwenye jamiiforum, facebook na twitwer haziwezi kukupeni kitu chochote kipya cha maana. Huu muda mpaka 2020 utumieni kwa kuwa karibu na wananchi kadri inavyowezekana, vinginevyo mtaishia kuisoma namba, mtaishia kutimuliwa vumbi.
 
Conspiracy zilikua Nyingi mno sana wapiga ramli wakaaminisha watu kuw atakufa akiwa jukwaani mara atakufa jina lake likikatwa

Mmmmhh basi

Kutoka sakafu ya MOYO wangu huyu mzee ni mvumilivu sana kama vikwazo kapitia vingi kazushiwa mengi
 
"Anae Muunga Mkono Lowassa Akapimwe Akili"
 
Reactions: nao
Wanaosema number ni Chadema au ccm kwa sasa? Shirikisha ubongo. Kwani uchaguzi si mlifanya figisu lakini uwalisia si mlilala doro
 
Umesahau ya vijana 46 hao juzi waliopongezwa walikua wanafanya nini? Leo mefanya nini ya umeya? Chama chakavu bana
Lowassa ni Jizi
Tetea ujuavyo
Na kamwe HATA MTAMBIKIE VIPI YEYE NA IKULU
ATAIONA KWENYE GAZETI LA ZUZU KUBENEA
 
"Anae Muunga Mkono Lowassa Akapimwe Akili"
Cc

Hapa kuna wagomvi wa Lowasa wa siku Nyingi tu kati yake na baadhi ya watu,hao wataalam wa kucheza na akili za watu walifanikiwa 'spinning doctors' wakawateka wapinzani na watanzania wengi kwa kuuaminisha kuwa bwana Lowasa ni mwizi na FISADI Mkuu na BWANA JK alitumia vizuri sana karata kupitia ndugu NAPE Nnauye KUBWAGA na kupoteza Lowasa kwenye Njia ya kupata urais.

Kama mnakumbuka sawasawa NAPE alitumia mkataba wa jengo la Umoja wa vijana CCM TAIFA kumsema waziwazi Lowasa ,na kipindi hicho kama Sijakosea nape aligombea nafasi ya uenyekiti wa UVCCM TAIFA akakosa.

Binafsi na ujasiri wa Lowasa kuhama CCM na kwenda Upinzani Binafsi naamin hakuna ukweli wa kile kinachosemwa na kilichosemwa.leo hii tunaambiwa Lowasa anaukwasi wa kutisha ila tukisema vitajwe hakuna mwenye ushahidi ndio maana hata CHADEMA walimpokea baada ya kugundua wale waliokua wanawapa habari kuwa Jamaa mwizi hawakua wakweli,.
Ila kuhamia Upinzani isiwe tiketi ya kuachwa kna mwizi kweli
 
Wanaosema number ni Chadema au ccm kwa sasa? Shirikisha ubongo. Kwani uchaguzi si mlifanya figisu lakini uwalisia si mlilala doro
Kwa akili timamu kabisa Lowassa hamfikii hata robo Rais Magufuli. Nyinyi baada ya kufanya kosa la kiufundi la kumchukua mtu aliyekulia CCM, mlikuwa mmeshajichimbia kaburi, mlikuwa mmeshajimaliza. Lowassa anao ujanja wa kutengeneza mitandao ya marafiki wenye fedha, anao uwezo mkubwa wa kufanya biashara lakini kwenye leadership hana uwezo kumzidi Magufuli. Hana conviction kama Magufuli, sio mfuatiliaji wa kiwango cha Magufuli. Hana uadilifu kumzidi Magufuli. Jipangeni kweli, mkitegemea huruma na zile kura za mahaba, itakula kwenu jumla, halafu mtasahaulika haraka sana.
 
Uwadilifu upi unaosemea? Hivi barabara zs big g nizanani? Nyumba za Serekali? Kufanya maigizo je?
 
Hapa kuna wagomvi wa Lowasa wa siku Nyingi tu kati yake na baadhi ya watu,hao wataalam wa kucheza na akili za watu walifanikiwa 'spinning doctors' wakawateka wapinzani na watanzania wengi kwa kuuaminisha kuwa bwana Lowasa ni mwizi na FISADI Mkuu na BWANA JK alitumia vizuri sana karata kupitia ndugu NAPE Nnauye KUBWAGA na kupoteza Lowasa kwenye Njia ya kupata urais.

Kama mnakumbuka sawasawa NAPE alitumia mkataba wa jengo la Umoja wa vijana CCM TAIFA kumsema waziwazi Lowasa ,na kipindi hicho kama Sijakosea nape aligombea nafasi ya uenyekiti wa UVCCM TAIFA akakosa.

Binafsi na ujasiri wa Lowasa kuhama CCM na kwenda Upinzani Binafsi naamin hakuna ukweli wa kile kinachosemwa na kilichosemwa.leo hii tunaambiwa Lowasa anaukwasi wa kutisha ila tukisema vitajwe hakuna mwenye ushahidi ndio maana hata CHADEMA walimpokea baada ya kugundua wale waliokua wanawapa habari kuwa Jamaa mwizi hawakua wakweli,.
Ila kuhamia Upinzani isiwe tiketi ya kuachwa kna mwizi kweli

Hahaha
Jibu na hili
"Anae Muunga Mkono Lowassa Akapimwe Akili"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…