Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
- Thread starter
-
- #61
Wewe unaongea usichokijua ufisadi wake alafu mkamuacha ndani ya ccm?Unajuwa chaga -dema nawashangaa sana nyie ndio mlio muhita huyo fisadi papa baada ya kuja kwenu mmebadilika tuacheni siasa za ukajanja bhana basi na Sumaye mtasemaje
Je kilichokua kimejificha nyuma ya pazia unakijua?Vp kuhusu wale waliomtaja kwenye list of shame pale mwembeyanga pamoja na vyombo vya habari vilivyomwandika vibaya ikiwemo MwanaHalisi
View attachment 325933
Ushabiki ndio huo wenu wakubeba wandishi wa habari na camera serekali ya Tv na MagazetiKuna watoto hawataki hata kufikiria, wao wanabebwa jumla jumla tu na ushabiki wa bei rahisi, asante sana kwa points zako.
Je mnachotaka kulifanya hapa Karimji Hall muda huu siyo ufisadi?LOWASSA SI FISADI,CCM NI FISADI
Nyuma ya pazia kuhusu upinzani kutoa kauli hizo mkuu au?Je kilichokua kimejificha nyuma ya pazia unakijua?
Baba yangu hawezi kuwa na akili matope kama hizi ninazoziona kupitia uwezo wako wa kufikiri. Aliyesema CCM sio baba yake, ndio huyo huyo aliyesema kuwa Lowassa ana mali nyingi kuliko umri wake. Na hayo maneno yalisemwa mwaka 1995, miaka 21 iliyopita, hivi sasa huyo mzee atakuwa na utajiri mkubwa kiasi gani?. Ndio maana nakwambia wewe mtoto mdogo, maandishi yako, hata ujengaji wako wa hoja ni ule wa vijana wa kidato cha tano au cha sita.Angaliea usije kuta mimi ndio Baba yako, Hizo kauli ni zile mlizokua mnatoleana huku mejifungia kwenye kachumba kamoja? REJEA KAULI YA BABA WA TAIFA, CCM SIYO MAMA YANGU WALA BABA YANGU
Nenda kamulize aliyekua Boss wakeNyuma ya pazia kuhusu upinzani kutoa kauli hizo mkuu au?
Lakini Baado mkamuacha kwenye chama na kumpa ukurugenzi wa Aicc, Ubunge, Uwaziri na mpaka Uwaziri Mkuu?Baba yangu hawezi kuwa na akili matope kama hizi ninazoziona kupitia uwezo wako wa kufikiri. Aliyesema CCM sio baba yake, ndio huyo huyo aliyesema kuwa Lowassa ana mali nyingi kuliko umri wake. Na hayo maneno yalisemwa mwaka 1995, miaka 21 iliyopita, hivi sasa huyo mzee atakuwa na utajiri mkubwa kiasi gani?. Ndio maana nakwambia wewe mtoto mdogo, maandishi yako, hata ujengaji wako wa hoja ni ule wa vijana wa kidato cha tano au cha sita.
Hapo unamsema mzee Lowassa aliyepanda daladala na kwenda mbagala akiwa na waandishi wa habari wakiwa na camera zao kiasi cha kuwasumbua abiria wengine. Aliyekwenda tandale sokoni akiandama na rundo la waandishi wa habari. Bingwa wa usanii ni Lowassa, kwani yeye kausomea kabisa chuoni.Ushabiki ndio huo wenu wakubeba wandishi wa habari na camera serekali ya Tv na Magazeti
Tusibitishie basi Kuwa Lema, Mbowe, Mnyika, Mdee and the like ni WAKURUPUKAJI kwa kushadadia ishu bila kuwa na hard evidence..Baada ya ukweli kujulikana hana ufisadi wowote mafisadi na majipu juzi Freeman Mbowe amewataja
Wanaoandamana na wandishi wa Habari sasa hivi niwakina nani?Hapo unamsema mzee Lowassa aliyepanda daladala na kwenda mbagala akiwa na waandishi wa habari wakiwa na camera zao kiasi cha kuwasumbua abiria wengine. Aliyekwenda tandale sokoni akiandama na rundo la waandishi wa habari. Bingwa wa usanii ni Lowassa, kwani yeye kausomea kabisa chuoni.
Je nyie mliyemsema ni fisadi bila kua na ushahidi wakumfikisha mahakamani nyie mliamka au mlikurupuka?Tusibitishie basi Kuwa Lema, Mbowe, Mnyika, Mdee and the like ni WAKURUPUKAJI kwa kushadadia ishu bila kuwa na hard evidence..
CCM na Lowassa ni kitu kile kile, huwezi kuyazungumzia maisha ya Lowassa kisiasa bila ya kuiongelea CCM. Ikiwa wale wa serikali wanatumia waandishi wa habari na Mzee Lowassa pia hayuko nyuma kwenye tabia hiyo. Yeye kwa sasa anawaita ofisini kwake mikocheni, sio Ufipa ambako mzee huyu alipaswa kuwepo kwani ndio makao makuu ya CHADEMA. Kumbuka kuwa msanii kutoka monduli, kahamisha kabisa ofisi za chama na kuzipeleka mikocheni ili zifanane na hadhi yake.Wanaoandamana na wandishi wa Habari sasa hivi niwakina nani?
Ndugu kumbuka tunaposema Lowasa ni fisadi haiondoi maovu yaliyokuwa yakitendwa na walio mzunguka na taasisi za serikali, ila cha kushukuru Mungu ni kuwa sasa kidogo ndani ya chama pamoja na serikalini tumeanza kuona uwajibikaji, ili kuonyesha hilo ulisikia tangazo la PM jana kuwa endapo mawaziri wasingerudisha zile form za maadili kwa muda waliopewa wangetimuliwa kitu ambacho usingewwza kukisikia kwenye serikali zilizopita. So lowasa akiwa fisadi haimaanishi JK ni msafi.Je kuna Mwizi anakubaligi kua ameiba kirahisi? Je ccm mlimchukulia Lowassa Mamuzi ya kumfikisha mahakamani ilehali Takokuru na vyombo vyote vya usalama ni venu? Mwisho Jk alikua wapi mdaa wote aje kwenye kufunga kampeni ndio aseme hivyo baada ya miaka nane? Je unajua tabia ya Mnafki inavyokuaga?
Naona unaleta ligi lakini kumbuka mfumo wa zamani ndani ccm na serikali ulikuwa wakulindana ndio maana maovu yalikua mengi na hakuna hatua zilizo chukuliwa. Lakini upinzani kwa kujua uzaifu ndani ya chama cha ccm wa kulindana na mnajua mafisadi waliokuwa ndani ya system akiwemo lowasa still mkamchukua na kumuogesha kwa jiki, i think haikuwa sahihiJe nyie mliyemsema ni fisadi bila kua na ushahidi wakumfikisha mahakamani nyie mliamka au mlikurupuka?
Tusibitishie basi Kuwa Lema, Mbowe, Mnyika, Mdee and the like ni WAKURUPUKAJI kwa kushadadia ishu bila kuwa na hard evidence..
Je nyie mliyemsema ni fisadi bila kua na ushahidi wakumfikisha mahakamani nyie mliamka au mlikurupuka?
Wale wa Mwembeyanga?Wale 3 Freeman Mbowe aliyowataja wameshatumbuliwa?
Hapo hutajibiwa maana umetumbuaWale wa Mwembeyanga?
Umewakumbusha vizuri sana.lazima magufuli amheshimu lowassa ndiye aliyesaidia kumuengua membe na kumbakisha magu.Mkuu bila LOWASA raisi angekuwa MEMBE kamwe MAGUFULULI hawezi mgusa mzee Jk nae ana jua bila Lowasa raisi angekuwa Salmini Lowasa jembe bwana.Akiwa ndani ya ccm alipendwa alipo hama ikawa mahaba nje ya ccm