yes.. huyu nae ni jipu la kutumbua. sema tangu amuuzie mzee wa monduli kampuni yake ya cdm ltd nyumbu ndio wamejaa cdm original hawana lao. akae chonjo akiingia 18 za jpm atatumbuliwa lazima.Freeman mwenyewe anapaswa kutumbuliwa, ni tatizo ambalo nyinyi hamuwezi kuliona.
Ndoto za mchana mlimpeleka mahakamani?Kama kunawatu wanajitoa ufaham mkuu ni cdm, wwamesahau kuwa walimuarika fisadi edo ili awe rais, halafu wakasahau kuwa walitumia miaka zaid 7, kutuambia ni fisadi, na ushahidi upo, halafu wakatumia nusu saa yaan dk30, kutuambia edo si fisadi, asee itz only in tz,
Niwakumbushe hyo edo amekuja kukiua chama na amewang,ang,ania kweli, mpaka ofc imehamia mikocheni, ile ajenda ya kupinga ufisadi ilikuf ghafura, sasa kama kwa dk 30 mlibadili mawazo, je mgepewa nchi, si mngebadili katiba muongoze milele? Hayo makosa hayawezi kufanyika tz,
Edo ni fisadi na hakuna njia nyingine ya kumsafisha...
Mkuu kwan ufisadi, mpaka upelekwe mahakamani? Au we ni mwanachama mpya wa cdm? Maana hao cdm walisema wanao ushahidi kuwa edo ni fisadi, sasa unahitaji nan aende mahakamani?Ndoto za mchana mlimpeleka mahakamani?
Best commentsWaliompokea kwa dhati kutoka moyoni ndio waliotumia nguvu nyingi katika kumuita fisadi, sasa ujumbe wa thread yako uanze kuwahoji hao hao ambao walimtusi na leo kumkumbatia kwao ni kitu rahisi kabisa. Video zinazowaonyesha hao waliomtusi zipo hapa JF na mara nyingi tu waungwana wanazioweka kwenye maandiko yao kwa nia ya kutilia mkazo hoja wanazojenga.
Waliothubutu kumuita Lowassa fisadi ni wengi sana, usiwaangalie tu wale ambao hawajaamua kushughulika naye kwa sasa. watazame na wale ambao waliingia katika mkumbo wa kumsimanga lakini fedha ndefu imezipofusha akili na fikra zao na wameamua kubadili kabisa kauli, wamegeuka watetezi maarufu wa yule yule waliyemjengea hoja mbaya kwa Watanzania.
Hakuna kuvuta subira kwenye serekali hii ya MazingaombweUkitaka Lowassa ahukumiwe kuwa fisadi serikali inaweza kulazimisha kumshitaki,hivyo basi ni vema utulie ukijua hakika Lowassa sio fisadi madhali hajahukimiwa na chombo chochote chenye mamlaka hata sasa.Na ccm watafute hoja nyingine kwenye uchaguzi wa mbeleni maana hoja ya ufisadi wa mtu huyu haitakuwa na mashiko ikiwa hawatathibitisha hayo maana walituaminisha kuwa kuna mafisadi papa mengine yapo nje na wakipata rudhaa watayafunga yote yawe ndani,labda tuvute subira muda bado.
Subira inahitajika Magufuli bado hajakamilisha kuweka serikali yake mf ma DC,RC hata mahakama yenyewe ya mafisadi haijakamilikaHakuna kuvuta subira kwenye serekali hii ya Mazingaombwe
Mahakama zilizopo kwani hazitafsiri sheria? Povu lazima liwatokePost ya kipuuzi na kibwege. Subiri Mahakama ya Mafisadi ianze kazi uone Kama ataburuzwa mahakamani. Unamshangilia Huyo mtu bado Watu walishamsahau zamani.
Kwani sasa hivi hakuna mahakama?Subira inahitajika Magufuli bado hajakamilisha kuweka serikali yake mf ma DC,RC hata mahakama yenyewe ya mafisadi haijakamilika
Duuu, we kweli ulipofushwa kwa kiasi kikubwaBaada ya ukweli kujulikana hana ufisadi wowote mafisadi na majipu juzi Freeman Mbowe amewataja
Kinachoonekana hapo kwa mawazo mepesi tu ni kwamba hata wewe mwenyewe huna uhakika kama ni fisadi au si fisadi...kwa hiyo unasubiri akitumbuliwa basi kwako atakuwa fisadi na ambavyo hajatumbuliwa kwako si fisadi.......JENGA HOJA YA KUTETEA USAFI WAKE!!Dah.... Siamini kama maneno haya yanatoka mdomoni mwa mtanzania
kuna mihimili mitatu ya dola (serikali )ambayo inaundwa naMihimili kweli ni mitatu,ila ni kama ifuatavyo;
1.Serikali:kiongozi mkuu ni Rais
2.Mahakama:kiongozi mkuu ni Jaji mkuu
3.Bunge:kiongozi mkuu ni Spika wa bunge.
Huo mhimili wako wa kwanza kidogo umenipa utata.
Asante sanaKinachoonekana hapo kwa mawazo mepesi tu ni kwamba hata wewe mwenyewe huna uhakika kama ni fisadi au si fisadi...kwa hiyo unasubiri akitumbuliwa basi kwako atakuwa fisadi na ambavyo hajatumbuliwa kwako si fisadi.......JENGA HOJA YA KUTETEA USAFI WAKE!!
kama unataka Rais atajwe kama mhimili basi mihimili iliyobaki iwe ni jaji mkuu,na spika wa bunge.SERIKALI,BUNGE NA MAHAKAMA NDIO MIHIMILI MIKUU MITATU,na viongozi wake wakuu ni Rais,Spika wa bunge na Jaji mkuu.kuna mihimili mitatu ya dola (serikali )ambayo inaundwa na
a)rais
b)bunge
c)mahakama
hujaelewa wapi ?....hakuna muhimili unaoitwa serikali
Anayosema Lowassa ni fisadi ni serikali au vyama vya siasa?
Ataingiaje kwenye 18 wakati anaangalia akiwa jukwaani?hata rostam azizi anashutuma za ufisadi. usopiteze afya yako na muda badala yake ngojea tu hao mabwana zako wakiingia 18 za jpm magufuli one usaa kama itafika kilo moja su vipi.
Japo watu ni hao hao, wanasema kama wanasiasa na si viongozi wa serikali. Wangetumia nafasi za Serikali, yangekuwa mengine.Good. Kwa hiyo Lowasa kuitwa fisadi papa ni propaganda za kisiasa tu. Nchi ya ajabu sana hii.
?Mkuu bila LOWASA raisi angekuwa MEMBE kamwe MAGUFULULI hawezi mgusa mzee Jk nae ana jua bila Lowasa raisi angekuwa Salmini Lowasa jembe bwana.Akiwa ndani ya ccm alipendwa alipo hama ikawa mahaba nje ya ccm
nakuunga mkono na miguu yote. well said !Wale ambao walipewa kazi ya kumtetea wakati wa kampeni, walifanya kazi ya bure kabisa ya kumkashifu kabla hajapigwa chini CCM, waswahili wanasema mchawi mpe mwana amlee, ndicho alichokifanya Lowassa. Aliamua kwenda kujiunga na CHADEMA, chama ambacho kilitumia nguvu kubwa katika kumchafua kabla hajaamua kujiunga nacho. Naona unajaribu kuikwepa pointi yangu ambayo umei quate, tena kwa makusudi kabisa, Lowassa ni mmoja wa watuhumiwa wa mwembe yanga, sasa waliomtaja kama ni fisadi kule mwembe yanga ni wana CCM?. Kwanini hao hao ambao waliiambia public kwamba Lowassa ni mmoja wa watuhumiwa, wameshindwa kumsafisha kwa kutumia njia ile ile waliyotumia kumchafua?. Theatre ndogo inaanzia CHADEMA, kabla ya uongozi wa juu wa serikali haujaanza kutafuta mikasi na pamba ziko wapi.