Yule anayethubutu kusema Lowassa Fisadi

Naona kwa makusudi kabisa kama ilivyotabia yenu umeamua kuja na kinga ya matusi baada ya kushindwa na hoja.
Matusi niyapi hapo wakati ukweli utakuweka huru Yuna na Mramba si mliwapeleka Gerezani kwanini Mlimshindwa Lowassa?
 
Ni vyama vya siasa tena hiki chama kinakurupuka tu chadema ushahidi mnyika, Msigwa, lema hadi lissu wanao.
Kwanini Mliweza kumpeleka Yona na Mramba lakini Lowassa meshindwa?
 
Matusi niyapi hapo wakati ukweli utakuweka huru Yuna na Mramba si mliwapeleka Gerezani kwanini Mlimshindwa Lowassa?
Ni hivi labda nikueleze kwa lugha nyepesi kabisa Serikali haijawahi kumtuhumu lowasa kua ni fisadi ila waliomtuhumu ni chadema walizunguka nchi nzima kuwaaminisha wananchi lowasa ni fisadi papa.
Rejea mkutano wa mwembe yanga wa chadema uliotaja mafisadi papa lowasa akiwa no 11 na wakadai ushahidi wanao Mnyika, lema,Msigwa na lissu katka mazungumzo yao mbali walisema ushaidi upo pale ufipa.
Sasa tuwaulize chadema kama ushahidi walikua nao kuwa lowasa ni fisadi papa kwanini hawakumpeleka mahakamani? Nakwanini wakampa nafasi muhimu ya kugombea urais ili hali wakiwa na ushaidi wa ufisadi wake?
 
Maana kwenye majukwa mlikua mnaimba tuu?
 
Hatua ya kwanza kukata jina lake kugombea urais. Ilidhaniwa kwamba vyama vyote makini watamtema. Angalau tumejua kuna vyama Saccos. Unavinunua tu kama bidhaa yoyote.
Maana vyama vyote vinatekeleza ilani ya chama cha Machafuko la viongozi kutembea na vikaratasi kwenye mifuko yao
 
hata rostam azizi anashutuma za ufisadi. usopiteze afya yako na muda badala yake ngojea tu hao mabwana zako wakiingia 18 za jpm magufuli one usaa kama itafika kilo moja su vipi.
 
Nyie mnaejua mlimfanya nini?
Sisi hatukua tunajua ila baada ya hiki chama chetu chenye mapenzi mema na wananchi na uzalendo kutupasha hizi habari tukadhani sasa huyu fisadi papa lazima afungwe na ushahidi upo kabisa heeee ghafla bin vuuuu tukaambiwa lowaaaasaaaaaaa mabadilikooooo tukaachwa gizani tusijue kulikoni tena? Ushahidi wanao mbona hajapelekwa mahakamani badala yake tunaambiwa tuchague mabadiliko Mh tumeachwa kwenye mabadiliko mapya hata hatuelewi .
 
hata rostam azizi anashutuma za ufisadi. usopiteze afya yako na muda badala yake ngojea tu hao mabwana zako wakiingia 18 za jpm magufuli one usaa kama itafika kilo moja su vipi.
Kama mliwashindwa mkiwa nao ndio sasa hivi mekula ys chuya
 
Baada ya miaka nane ndio juzi meambiwa? Mramba na yona....
 
Kama kunawatu wanajitoa ufaham mkuu ni cdm, wwamesahau kuwa walimuarika fisadi edo ili awe rais, halafu wakasahau kuwa walitumia miaka zaid 7, kutuambia ni fisadi, na ushahidi upo, halafu wakatumia nusu saa yaan dk30, kutuambia edo si fisadi, asee itz only in tz,

Niwakumbushe hyo edo amekuja kukiua chama na amewang,ang,ania kweli, mpaka ofc imehamia mikocheni, ile ajenda ya kupinga ufisadi ilikuf ghafura, sasa kama kwa dk 30 mlibadili mawazo, je mgepewa nchi, si mngebadili katiba muongoze milele? Hayo makosa hayawezi kufanyika tz,

Edo ni fisadi na hakuna njia nyingine ya kumsafisha...
 
Kama Lowasa sio Fisadi kwa sababu hajatumbuliwa, basi Kikwete sio fisadi, Sumaye sio fisadi, Mkapa sio fisadi, mawaziri, watumishi waandamizi wote waliopo na waliotangulia sio fisadi kwa sababu nao hawajatumbuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…