Wanaume ndo wabinafsi naonaWANAWAKE WABINAFSI SANA NYIE...
NI SUALA LA KUUSET MOYO TU...UTAMPENDA TU...HIVI WAKATI ULE MAMA ZENU WALIOKUWA WANAOLEWA NA MWANAUME HATA HAMJUI...JUST KWA SABABU BABA YAKO NA BABA YAKE WANAFAHAMIANA BASI WANAKUBALIANA KUOZESHANA...NA WANADUMU...
NYIE WA SASA MNAJIKUTA WAJANJA NA WAJUAJI..
Naamini msingi wa ndoa ni mapenzi na kupelekea sababu nyingine...Wadau wazima,
Kwa wadada unaweza kumkataa mwanaume kisa hana hela au ana hela ila roho haijaridhia basi unajiachia kwa vibwana ambavyo vinakuchezea tu mwishowe unatoa mimba unaachwa unasalitia mpaka unazeeka.
Tokea wimbo wa Vaileti mpaka Tetema hujaolewa hujui kwanini kwa maana yule unayemkata ndio kaja kwa wema ila wale unaowapapatikia ndio utaishilia ukitoa macho kama mjusi aliyabanwa na mlango.
Oh mara unasema huyu namchuna mpaka nini .
Mara nina wangu tuna miadi naye ya mbele we have future together mwenyewe hata home hajawahi kuja.
Anawatifuatifua marafiki zako kama nini halafu kutwa masaa ishirini nanne unakuwa unamsema unamuwaza unakuwa unamuota na unajiona kumbe ni mpita njia kazi yake ni kula na kusepa.
Sasa huyo uliyemkataa ataoa utabaki umekomaa hadi ukigongwa na pikipiki sio wewe unajeuriwa na pikipiki umeijeruhi.
Acha kuchagua utajikuta wewe ndio kila mtu anapita akichoka nyumbani kwake. Anajua unachopenda chakula vinywaji na pesa anakuja anakupa anaenda ila hata siku moja hutasikia ndoa.
Utavaa nguo zakila neno hadi ubadili uanze kuvaa vitengee. Utabakia ukiitwa majina kisa ni wewe ulitaka.
Kaa naanaye kupenda tatizo ni hili kumpenda asiyekupenda. Aliyekupenda tulia naye hata hela mkikaa pamoja mkawa serious mtazipata tu.
Au kama anazo basi jaribu kumuweka unavyotaka wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora maskini mwenye vision kuliko tajiri mpumbavu.touch down!Ishu sio mwanaume maskini ishu ni kilicho ndani ya huyo maskini,je ana vision gani?where do he see himself in future ili nami kama wife nimsupport?as sisi kama wake tumeitwa wasaidizi na wasaidiz sio tu kwenye home chores bali mpaka kwenye vision za waume!So akiwa na vision na unaona kabisa yuko focused you just go for it hata kama leo yuko maskini
Huu ndo ukweli mchungu. Na ndiyo pale unapokuja kugundua hata watoto wote sio wako
Sasa umebaki unadangaKuna jamaa mmoja last year katikati kwenye mishe tumekutana hukoo.....Basi jamaa full kuzimika na mimi, aaahg! Nikamuona tapeli tu....kumbe ni ananipenda kweli asee, ...tatizo moyo wangu haumkubali kabisa, staff mwenzangu ananiambia iko siku utaukumbuka huu upendo, halafu mkaka mzuri tu, na anafocus na life but duuh moyo bana unagoma/ukagoma mazima![emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
100% Walio Like huu Ujumbe ni jinsia ya KiumeWadau wazima,
Kwa wadada unaweza kumkataa mwanaume kisa hana hela au ana hela ila roho haijaridhia basi unajiachia kwa vibwana ambavyo vinakuchezea tu mwishowe unatoa mimba unaachwa unasalitia mpaka unazeeka.
Tokea wimbo wa Vaileti mpaka Tetema hujaolewa hujui kwanini kwa maana yule unayemkata ndio kaja kwa wema ila wale unaowapapatikia ndio utaishilia ukitoa macho kama mjusi aliyabanwa na mlango.
Oh mara unasema huyu namchuna mpaka nini .
Mara nina wangu tuna miadi naye ya mbele we have future together mwenyewe hata home hajawahi kuja.
Anawatifuatifua marafiki zako kama nini halafu kutwa masaa ishirini nanne unakuwa unamsema unamuwaza unakuwa unamuota na unajiona kumbe ni mpita njia kazi yake ni kula na kusepa.
Sasa huyo uliyemkataa ataoa utabaki umekomaa hadi ukigongwa na pikipiki sio wewe unajeuriwa na pikipiki umeijeruhi.
Acha kuchagua utajikuta wewe ndio kila mtu anapita akichoka nyumbani kwake. Anajua unachopenda chakula vinywaji na pesa anakuja anakupa anaenda ila hata siku moja hutasikia ndoa.
Utavaa nguo zakila neno hadi ubadili uanze kuvaa vitengee. Utabakia ukiitwa majina kisa ni wewe ulitaka.
Kaa naanaye kupenda tatizo ni hili kumpenda asiyekupenda. Aliyekupenda tulia naye hata hela mkikaa pamoja mkawa serious mtazipata tu.
Au kama anazo basi jaribu kumuweka unavyotaka wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah find the good kwa huyo jamaa utampenda tu. Kwa sie vidume iko easy maana sie ndio tunawachagua. Wajibu wenu ni kutii masharti tu sie tutaendelea kuwapenda adi mwisho!Mhh nyie jmn can u even kiss mwanamke usiempenda?..
Haha sio kazi rahisii kukubali js bcz the guy anakupenda
Bora kupendana japo kidogo
Ndo maana nilimwambia yule binti, kuna kudumu kwenye ndoa na kuna kuenjoy ndoaWanasema eti mbona wanawake wa zamani waliweza? Wanasahau kuwa hawayajui yaliyokuwa mioyoni mwao......
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabinti wenye mentality kama zako in Kwa ajili ya matumiz sio wa kuoa, MTU atakaye kuoa atakua ameingia cha kikeNdo maana nilimwambia yule binti, kuna kudumu kwenye ndoa na kuna kuenjoy ndoa
Mabinti wenye mentality kama zako in Kwa ajili ya matumiz sio wa kuoa, MTU atakaye kuoa atakua ameingia cha kike
Aaah wapi mwanamke aliyeolewa au asiyeolewa utawajua Kwa arguments zao, argument zako za nyuma inaonekana hujaolewa au umeolewa na MTU ambaye hujaridhika nayeWewe usipate tabu na mke wa mwanaume mwenzio. Peleka mentality zako za kijima kwa mkeo; viatu vyangu havikutoshi young boy
Aaah wapi mwanamke aliyeolewa au asiyeolewa utawajua Kwa arguments zao, argument zako za nyuma inaonekana hujaolewa au umeolewa na MTU ambaye hujaridhika naye
Ila usikate tamaa wakina Nancy sumary na k-lyn walikuwa na ndoto kama zako na wakafanikiwaMweeh maskini sheikh yahya wanna be......
Bye Lance
Mambo ya moyo mtihanii mwishowe umsaliti kisa hujaridhika naeHahah find the good kwa huyo jamaa utampenda tu. Kwa sie vidume iko easy maana sie ndio tunawachagua. Wajibu wenu ni kutii masharti tu sie tutaendelea kuwapenda adi mwisho!
Hahah utishwi ila unatengenezewa mazingira ya kupenda pia.Mambo ya moyo mtihanii mwishowe umsaliti kisa hujaridhika nae
I thnk huu uzi umelenga kutetea wanaume wanaokataliwa...tukumbushane kwny kuchagua kuna mwanamke kusema yes or no
Labda vijana wajikite ktk kuboresha mbinu zao nk
kumtishia mtu asiekupenda haisaidii sn nadhani
Smtimes mtu akikukataa js move on i mean u never know