Kwahiyo mwanamke haruhusiwi kuchagua?Umesahau kua mwanaume ana asilimia90 ya kuchagua ampendae kumuoa ila kwa mwanamke ni 10 kujichagulia mwanaume wa kumoa kueni makin na muda
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke kuishi na mtu asiyempenda inawezekana kabisa.Ila mwanaume kuishi na mwanamke asiyempenda hawawezi kudumuNa ndivyo inakuwaga lakini mimi nashauri wadada mtizame mioyo yenu iko wapi ikiwezekana olewa na unaempenda
Kuishi na mtu kisa tu ye anakupenda sana lkn wewe humpendi kivile ni mtihani mzito sana kuzidi matusi ya humu kwa masingle mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hii kauli unataka kuniambia mtu mwenye 1 ya CSE na ACSE degree ya 4.0 na masters ya 4.7 ni kilaza? Plus yuko na exposure ya kutosha ya maisha family aliokulia sio maskini kusema ni limbukeni.We ze - insect sio wote...wengine tunatumia akili!
So sio wanawake wote!
Sent using Jamii Forums mobile app
Maskini...wadada wapole wanapataga Vimeo kweli!Freshi tu wana mtoto wa pili sahivi. Yani sista alikuwa na jamaa wa usalama kipande ya mtu akamtia goli halafu akawa anazingua kuoa. Huyu muhuni ndio akaja kuseleleka zake na kuoa kabisa maana sista yuko full gwamba hela ipo na shule nyingi tu halafu hana makuu mpole huyoo!!!
Kivip na kwanini?Mwanamke kuishi na mtu asiyempenda inawezekana kabisa.Ila mwanaume kuishi na mwanamke asiyempenda hawawezi kudumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaruhusiwa ila kwa kuwa tunatakiwa kuwatawala hio option mnatakiwa msiwe nayo. Maana madhara ni makubwa kuliko faida
Mmmh madhara? Kama yapi?Anaruhusiwa ila kwa kuwa tunatakiwa kuwatawala hio option mnatakiwa msiwe nayo. Maana madhara ni makubwa kuliko faida
Hahahah too bad yuko geniune kweli na hisia zake. Inaonesha dhahiri yeye alikuwa anataka mume tu maana anajitosheleza kila kitu so hana haja ya kuhongwa wala sio maisha yake jamaa anavyomjali na kumpa time ye karidhika tu yupo for love. Sijui lakini kama watashindwana watajuana wenyewe ila seems kajitoa!Maskini...wadada wapole wanapataga Vimeo kweli!
Sasa kwanini jamaa asitafute kishughuli cha kufanya??
Wanawake by nature hawapendi kuliwa vitu vyao eti, iko siku atamchoka!
Aombe tu sista ako asipate mpango wa kando uwe unajiweza halafu unampenda, huyo marioo atajuta!...wee unafikiri haumii anavyomlisha huyo koroo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Madhara yake sindio kuwa na mabwana 6 sita.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Katika yote uliyoyasema, wakumbuke hili hata kama watasahau hayo yote. Classmate wangu waliokuwa wanachagua bado wako single ama ni ma-single mother in their 40s. Walioamua kuwa na sisi, ndio wana familia zao. Siyo matajiri lakini wanakula, wanavaa, wana usafiri, sehemu ya kulala na watoto hawaendi IST lakini wanakwenda shule nzuri. Sasa hivi hao wenzetu waliokuwa wanatafuta wapenzi kutoka familia tajiri wakiolewa nadhani itakuwa na wanaume wagane.
[emoji23][emoji23][emoji23]ati malaikaUtawaweza hawa malaika sasa[emoji134]
Kudos uko real...! Olewa na ambae moyo umeridhiaMtu kama humpendi hutamsamehe akikuosea
Hutamvumilia katika magumu yake ugonjwa uchumi nk
Hutafurahia nae tendo la ndoa utatoka nje kumtafuta wa kukufurahisha
Utaishi kinafiki sana usoni tabasamu huku moyoni ni majuto na kilio
Hizo ni hasara nazoziona....
Sent using Jamii Forums mobile app
JAMNI EEEH MSIWAPOTOSHE WANAWAKE... MOYO HAUNA KAZI YA KUJUA BAYA NA ZURI... WANAWAKE WARUHUSU AKILI ITAWALE KATIKA NAHUSIANO YAO NA SIO MOYO...
Ndo wanapokosea wanajiweka level moja na wanaume, mwanaume ndo ana Uhuru wa kumchagua ampendaye tofaut na wanawakeUmesahau kua mwanaume ana asilimia90 ya kuchagua ampendae kumuoa ila kwa mwanamke ni 10 kujichagulia mwanaume wa kumoa kueni makin na muda
Sent using Jamii Forums mobile app
We umesema moyo ukigoma ndo basi tena, ukiwa muongo uwe na kumbukumbuWe ze - insect sio wote...wengine tunatumia akili!
So sio wanawake wote!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji28]Madhara yake sindio kuwa na mabwana 6 sita.
Moyo na akili...acha kunilisha tango poriWe umesema moyo ukigoma ndo basi tena, ukiwa muongo uwe na kumbukumbu
Haaaahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]...kuibiwa hapo kutamuNi rahisi kumpenda akupendaye kuliko kumfosi asiyekupenda akupende.
Mwanamke mjanja kwa sasa anamchukua mwanaume then anamshape anavotaka yeye awe wala si kazi ngumu.
Nb:unaweza kumshape wako then ukaibiwa[emoji23][emoji23]
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app