Yuko wapi?

Yuko wapi?

Chemwali

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
397
Reaction score
178
Kuna yule mlemavu wa fire bus stand alikuwa mpigadebe...at that time kituo kile ni maarufu kwa wanafunzi wa Tambaza,Zanaki,Jangwani,Azania na Mzizima.......alikuwa anatembelea gongo moja anamwaga matusi mbayaaaaaaaaaaa......yaani ukisimama alipo ni aibu ya aina yake
 
Back
Top Bottom