Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 944
- 1,142
Mchatu ninani wewe
wewe si uko jikoniNauliza tu maana mara ya mwisho nilimuona luningani akiwasimamisha kazi baadhi ya watoza ushuru wa TRA...
Corona huwa na tabia ya kubana na kuachiaAtakuwa yupo yupo tu! Hata Lukuvi walivumisha kwamba amebanwa pumzi lakini juzi kati ameonekana hadharani akisimamisha ujenzi kule Coco Beach! Kigogo mara nyingi huwa manafiki sana!