Yuko wapi Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa?

Status
Not open for further replies.

anarchist

Member
Joined
Apr 7, 2018
Posts
42
Reaction score
194
Awali ya yote naomba niwape pole waTanzania wote kwa msiba wa hayati Rais Magufuli.

Edward Lowassa ni muda sijamuona hadharani na kwenye msiba huu mzito, waziri mkuu mstaafu huyu alipaswa kuonekana

Mwezi wa huzuni sana huu tushikamane waTanzania.

==========

 
Awali ya wote naomba niwape pole waTanzania wote kwa msiba wa hayati rais Magufuli.

Edward lowassa ni muda sijamuona hadharani na kwenye msiba huu mzito wazuri mkuu mstaafu huyu alipaswa kuonanekana

Mwezi wa huzuni sana huu tushikamane waTanzania.
Gazeti la nipashe la leo

 
Mkizidisha kelele ndio ataibuka.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…