Kama bado atakua anaumwa kama taarifa za awali zilivyosema (ingawa hazikufafanua), Basi huyu ndio atakua mtanzania aliyeumwa/aliyeugua kwa muda mrefu zaidi.
Cha kushangaza zaidi kuhusiana na huyu jama hakunaga hata rumous mtaani ya kinachoendelea zaidi ya majibu ya mkato kuwa ni MgOnJwA