Hiyo ni negative perseption vile waligiza ikatokea hivyo. Mbona wakigiza nimatajiri haiwi. Wabongo bhana ukisema "ntajiua watasema maneno yanaumba ila ukisema ntajenga ghorofa utasikia aah wapi kwa usawa huu" kwanini yaumbe negatively na sio positively.
Huyu jamaa mara ya mwisho nimeskia taarifa zake alikuwa anaugulia nyumbani kwao, siku hizi hata wenzie hawataki kumuongelea wakiulizwa, huenda anaumwa sana.
Kama bado atakua anaumwa kama taarifa za awali zilivyosema (ingawa hazikufafanua), Basi huyu ndio atakua mtanzania aliyeumwa/aliyeugua kwa muda mrefu zaidi.
Cha kushangaza zaidi kuhusiana na huyu jama hakunaga hata rumous mtaani ya kinachoendelea zaidi ya majibu ya mkato kuwa ni Mgonjwa