Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Wadau katika pitapita zangu kimasomo nimesoma gazeti lililozungumzia kuwa 1983 kulikuwa Na Kesi ya kihistoria ya uhaini katika nchi Yetu.Miongoni mwa wahusika ni pamoja Na Bw.Thomas Lugakingira "Uncle Tom" Ninaomba anayejua huyu Bw .yuko wapi?