huyu legendary yuko wapi maana sijamsikia mwaka huu..
Jamaa anajua ile ngoma yake ya 2012 ya miss Tanzania mpaka leo naisikiliza naiona kama mpya.
Achilia mbali zile ngoma zake za zamani ile album aliyomshirikisha karibia kila nyimbo qchief.

Yani jana nimejikuta nasikiliza nyimbo zake huyu jamaa nikaona kweli nyimbo za zama hizi za akina mond ni takataka sema tu ni muda kila zama na kitabu chake