Yuko wapi Solo Thang?

Nyimbo za sasa hv zinahiti leo kesho zimeisha power halafu mbaya zaidi ni mapenzi tu

Mimi ningeshauri wasanii sasa hv kipindi hiki cha magufuli wangetunga nyimbo za kuwafariji watu, kukosoa serikali, kutoa sera katika mashairi kama roma vile waimbe up date situation waende ma beat ya movie ya nchi inavyoenda
 
Prof j, ulamaa, sele, roma, na fid q mmmh huu moto ogopa

Wangedhaminiwa kutunga wimbo wa kuisemea neno serikali tungetafutana aiseee jamaa wananyoosha hatari
 
Wadau Kuna wimbo 1 wa madeni nilimpenda sana ile korasi ya kubembeleza, solo yuko, anarap mwishowe wanaimba pa1, Jina siujui. Unaishiaga "Mpenzi waaaanguuuu" wanauvuta hv!! Mwenye kunipata nisaidie. Nimegugo na kusikiliza zote siupatagi.
 
mkuu and
Wadau Kuna wimbo 1 wa madeni nilimpenda sana ile korasi ya kubembeleza, solo yuko, anarap mwishowe wanaimba pa1, Jina siujui. Unaishiaga "Mpenzi waaaanguuuu" wanauvuta hv!! Mwenye kunipata nisaidie. Nimegugo na kusikiliza zote siupatagi.
ika vizuri naweza kukusaidia,maana binafsi sijaelewa swali lako..
 
Sikiliza nyimbo inaitwa simu yangu ya Soggy dogg hunter feat Solo thang. Utajua Solo ni mtu wa aina gani. Pia sililiza Solo na mpenzi feat Mr. Paul
Wameniibia 5210
Sasa niko na blu bird
Wamebitoa finland
Sasa niko japan
.....
Wapendao kubip hapa mtaliwa dola
Pembeni ninatumia .... chunga nitakutia hasara

Verse ya jaymo
 
Hahaaaaaaaaa Homa ya dunia, Solo thang anakwambia dume zima shanga kiunoni urembo gani
Hahahahaa!!

"Urembo gani Wewe rijali vyanini vidani bora cheni..matobo mpaka puani au we Mambo swafi hutuelezani vijana mnapenda sukari hampendi shubiri"

"Mkipewa harua mnataka na tende hamuelewi pwani kuna ma'mende"

Huu wimbo mpaka wa Leo huwa napenda kuusikiliza sana..huwa nacheka sana.

Mambo ya pwani--solo thang a.k.a msafiri a.k.a traveller.
 
Sijui bwana huyu yuko wapi..

Lakini mwezi March aliachia kibao chake kilichokwenda kwa jina la UCHU kamshirikisha Dully...kipo vyema sana.

Nyakati zimebadilika lakini wakishtua shtua mara moja vibao hawa wakongwe sio mbaya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom