Yuko wapi siku hizi huyu?

Yuko wapi siku hizi huyu?

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
19,385
Reaction score
68,490
Pauline+Zongo+pauline_zongo.jpg

mwambieni namsalimia...
 
Mara ya mwisho kusoma habari zake alikuwa amejiunga Na TOT plus band kama mwimbaji kiongozi na Marehem captain j komba alijinasibu kuwa huyu binti atairudishia bendi makali ya miaka ya 2000 mwanzoni. Nimemmisi pia.
 
Inamaa marehemu John Komba alihusika kwenye hiki kipaji?
 
Inamaa marehemu John Komba alihusika kwenye hiki kipaji?

Kwa namna moja au nyingine NDIO. Ila binti alipaswa ajiendeleze mwenyewe, mbona mwana fa Na ay bado wapo vizuri tu hata baada ya wana pwani ya mashariki kisambaratika?.
 
Sikuizi kawa Bonge kweli kweli hata kuimba sijui kama bado anaweza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom