Yuko wapi Shukuru Kawambwa?

Yuko wapi Shukuru Kawambwa?

Hawezi Kurudi CoET maana aliondoka akiwa Lecturer tu bora hata angekuwa Profesa wangempokea

kawambwa aliondoka akiwa Senior lecturer

UDSM pale kuna Ma"senior Lecturers" wanalazimishwa kuendelea kufundisha ingawa umri miaka 70+ huko

Hilo sisimuliwi
 
Unamtakia nini?
Kamuulizie nyumbani kwake Bagamoyo.
Huna kitu kingine cha maana cha kufikiri?
ni vyema kujua viongozi wetu waliotupelek hatua kadhaa kimaendeleo wapo wap na wanafanya nn
 
Pesa 'alizochuma' Kipindi alichokuwa 'Madarakani' kwa Msaada mkubwa wa Ndugu yake aliyekuwa 'Rais' zinamtosha Kula hadi 'Kristo' atakapokuja.

Huyu na wamama flani hivi walibebwaga sana, bahati mbaya mbeleko imekuwa kuukuu sasa.
 
Back
Top Bottom