Mbona kimya hivi Sheikh Mkuu wa BAKWATA Dar? Ni kipindi kirefu hatujasikia matamko yake. Kipindi hiki ambacho tumekuwa na sintofahamu kuhusu usalama na amani ya nchi kwa hakika alivyokuwa msemaji sana hangenyamaza bila kutoa kauli.
Mbona kimya hivi sheikh mkuu wa Bakwata Dar? Ni kipindi kirefu hatujasikia matamko yake.
Kipindi hiki ambacho tumekuwa na sintofahamu kuhusu usalama na amani ya nchi kwa hakika alivyokuwa msemaji sana hangenyamaza bila kutoa kauli.
Imekuwaje?
Mbona sijasikia kiongozi wwte wa ccm akikemea wizi wa kura bara na visiwan, kwan ccm inategemea police na NEC kwenye wizi(kubeba na kuridisha sanduku) wa kura ili iendelee kubaki madarakani kibabe?