moses Mwanja
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 534
- 462
Kumbe jamaa ni afisa wa jeshi daah nilikuwa sijui namkubali sanaNi afisa wajeshi ckuhz,alishaacha music
Ndiyo nilikuwa namkubar sana jamaaMzee wa "Waite polisi"
- KANA -
Anajua kuchana mbaya na pumzi bab kubwaJamaa alikuwa na saut nzur sana nilikuwa namkubali
Nashukuru mkuu kwa kunijuzaNi captain wa jeshi anakaa kimara king'ongo kambi mabibo
Jamaa alikuwa mkaliaisee nilishamsahau huyu jamaa kwa jinsi alivyopotea ghafla
Alikuwa vizuri sio kipolepoleNakupenda hip hop zaidi ya machizi wangu wa kitaa...
Long time aisee jamaa alkuwa vizuri
Ebwana eeeeRoho Saba namkubali sana hasa nyimbo zake za nakupenda hiphop na waite polisi.
Ni mrembo fulani mwenye urefu wa wastani, kwa mwendo wa paka akitembea amfike nani?
Ana sura ya ukweli, figa ya hatari, kiuno kimejinyonga ka kitanzi, macho ya duara ka round about ya msimbazi.
Ndio aisee REAL HIPHOP