Yuko wapi Ridhiwani Kikwete?

Dah siamini kama hata Kaka February nae kakaaa kimya hivyo aiseeeee, dah siasa hizi, hivi na yule dogo aliyetukana sana kipindi kile na kuweka clip kwenye social media kaishia wapi? Yule sijui alikua chipukizi wa Taifa...kibonge hivi
Walikua wakijiita watoto wa ikulu
 
Anajiandaa na ukuta septemba mosi
 
Lengo lake moja tu na limetia "Rais hatoki kaskazini" kamaliza shughuli yake kaiacha nchi mikononi salama kwa mzee Magufuli sasa anajenga jimbo lake.
 
Jidanganyeni tuu
MKUU WAKO WA KAZI ALISHATAMKA HADHARANI KUWA ATAMLINDA SASA UNATAKA KUPINGANA NAYE AMA NINI KALAGABAHO


WEWE E NDELEA KUISHI KWA MATUMAINI KUWA UTATOKA KWENYE LINDI LA UMASKINI ULIONAO AWAMU HII............................. UTANGOJA SANA HAO WATU WAKAMATWE
SIJUI KINA LOWASA SIJUI NINI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! AAAH WAPI
 
Hivi lengo lako ni kuuliza alipo riziwani au kusema watu wa pawani ni maskini kwa sababu wanakaa vibarazani?.

Maana naona umechanganya habari mbili zisizowiana.

Riziwani ni mbunge wa chalinze na siyo pwani sasa unapotaka asimame aitetee pwani kana kwamba ni mbunge wa pwani napata mashaka na uzi na uelewa wako.
 
Kawaida mbna hakuna jipya isipokua kuisoma namba kama unavyoisoma wewe na hao wabadhilifu wenzako swine kaaa kimya rungu kakabiziwa mwenyeji wa kanda ya ziWa NGOSHA
 
Lengo lake moja tu na limetia "Rais hatoki kaskazini" kamaliza shughuli yake kaiacha nchi mikononi salama kwa mzee Magufuli sasa anajenga jimbo lake.
Acha upuuzi ubaguzi peleka Lumumba uko!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…