- Thread starter
- #21
Vingi vizungumziwavyo humu vyapatkana Google..kwa akili yako ya asbh Kil mmoja Yuko Instagram?Anaishi Canada kwa sasa pia usituchoshe uki google unampata kwenye insta utamfuatilia mwenyewe kivyako
Sent using Jamii Forums mobile app