Yuko wapi rafiki yako mpenzi

Pole yako, lkn pia shukuru kwa kila jambo, ulimpenda lkn bahati mbaya huyo viatu vyake vilikuwa vikubwa angekusumbua tu,
 
Honest alipigwa mimba akiwa kidato cha pili na mimi nikiwa chuo mwaka wa kwanza, nadhani uvumilivu ulimshinda akaamua kufanya vile. Yupo anaishi kivyake japo aliomba mara nyingi sana turudiane nami nilikataa.
Ulikua unabaka
 
Pole yako, lkn pia shukuru kwa kila jambo, ulimpenda lkn bahati mbaya huyo viatu vyake vilikuwa vikubwa angekusumbua tu,

AISEEE! toka hyo 2014, Cjathubutu tena kuwagusa wanawake....najikuta mwenye furaha ninapotimiza MIRADI yangu...
 
Mungu atakupa mwingine zaidi yake Na utamsahau, uwe Na moyo mkuu
Asante, japo Mungu alinibariki na kumpata anipendae kwa dhati, nafurahia uwepo wake katika maisha yangu na wala sijutii. Ni chaguo halali nililopewa na Mungu.
 
Asante, japo Mungu alinibariki na kumpata anipendae kwa dhati, nafurahia uwepo wake katika maisha yangu na wala sijutii. Ni chaguo halali nililopewa na Mungu.
Amen, akubarikini nyote Na kizazi chenu muendelee kuishi kwa amani
 
Nimeshamblock kwenye mitandao kitambo ex wifi yake ananiambia amekuwa bingwa wa kubadilisha status whatsapp
 
Daaa mm nilimwacha wangu mkoani arusha c yy aliniacha ,eti nilimwacha kisa tu nimekuja daaaa now kawa mkalii kuliko hata alivyokuwa mwanzo na ana MTU wake ila nikiendaga arusha ananopaga mzigo kama kawaidaa etiiii
Sio Vizuri
 
Nimeshamblock kwenye mitandao kitambo ex wifi yake ananiambia amekuwa bingwa wa kubadilisha status whatsapp
Ha ha ha hivi status zinatumika kwa mipasho eeenh hii kitu nimekuwa nikijuliza sana, wewe ndo umenipa jibu
 
mkuu nina experience hiyo aisee yani tukipishana kauli mbio anaenda kutundika status na picha zenye ujumbe kumpa relief nilikuwa namshangaaa sana k
Ha ha unamaanisha anataka kumpiku Hadija kopa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…