Yuko wapi mwenzetu sembo!!

Kwani umetumia ID nyingine? Hapa anatakiwa Sombo ajitokeze!

Anajua sana kusoma alama za nyakati. Keshaona limevunda tayari.

Anafanya majaribio na Monaco fc akimaliza atarudi

Atarudi mwanzoni mwa msimu wa LigiKuu bara 2017/18.

Ameshaona kuwa LigiKuu hana chake..

Yupo eneo Korofi

sembo
unaitwa huku
Waatani nipo... Ni majukumu tu yamekaba, ndo mana huwa naangia jukwaani kwa mguu mmoja mmoja, ila tupo pamoja sana.. Na kabla ya Mnyama kukabidhiwa makombe yake mawili, nitakua nisharejea.
 
Habari wanajamvi,
Ni muda sasa sijamuona mdau mwenzetu sembo humu sijui yuko wapi au ni Mimi ndio napishana nae??

Nilitaka tusherekee nae double msimu huu!!

Wanasimba hatujifichaki wewee!!!
Hahaha.. Mkuu upo sahihi wanasimba hatujifichi.. Japo ile safari yetu tuliyoianza mwaka Jana ya kubeba makombe 3 Katika msimu huu, haijawa na mafanikio makubwa kwani tunaenda kuambulia makombe 2, si mbaya tukisherekea mafanikio haya. Tutakua pamoja Mkuu.
 
Hahaa makombe mawili si haba mkuu...karibu sana mkuu na pole na majukumu
 
Wadau wa Simba nimefufua huu uzi leo 1/1/2020 baada ya kuona huyu mwenzetu tena tangu Septemba hajaonekana humu jamvini. Siyo kawaida yake Simba itoe dozi kadhaaa bila kuwemo humu jamvini.
Haonekani huyu...
 
Anayejua kuhusu huyu member atujuze.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom