Yuko wapi mwanasoka Hussein Marsha??

Yuko wapi mwanasoka Hussein Marsha??

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
5,139
Reaction score
1,149
Wadau wa michezo hususan soka yuko wapi huyu mwanasoka nguli nahodha wa timu yetu ya taifa kwenye miaka ya tisini?Nani anajua alipo kama yuko hai na anajishughulisha na nini?maana ni miaka mingi sijamsikia popote akitajwa ama kuonekana,ni aghalabu kuwaona wanasoka mbalimbali wa nguli wa enzi hizo wakitumika kufanya tathmini na chambuzi mbalimbali katika michezo ya soka kitu ambacho tulitegemea pia kumuona akifanya nahodha wetu huyu wa zamani aliyerithi mikoba ya unahodha kwenye timu yetu ya taifa kutoka kwa marehemu ISSA ATHUMAN MGAYAambae alikaana mikoba hiyo kwa muda mrefu nadhani baada ya CHARLES BONIFACE MKWASSA kustaafu.

Watu wa mpira popote mlipo msaada tutani yu wapi Hussein???

Nawasilisha.
 
Hata mie nataka kujua aisee nilimpenda sana kwenye mpira aisee
 
Nilimwacha mji mmoja unaitwa slough UK,ni kweli kaolewa na jimama flan hv ambae zamani alikua mke wa John Fashanu.Na hilo jimama jina lake linaanzia na S.
 
Basi kweli huyo mama kajua kumficha Hussein maana hata kusika hasikiki,nimemsaka kila mahali kuanzia facebook kote Hussein hapatikani...!huyo mama ni raia wanchi gani?na je ni mzungu au kipera kama sisi????

Lakini nakumbuka alioa mtoto mmoja wa kimanga kwao moshi mjini pale sasa sijui alimmwaga baada ya kumpata huyo mama au vipi..
 
Wadau wa michezo hususan soka yuko wapi huyu mwanasoka nguli nahodha wa timu yetu ya taifa kwenye miaka ya tisini?Nani anajua alipo kama yuko hai na anajishughulisha na nini?maana ni miaka mingi sijamsikia popote akitajwa ama kuonekana,ni aghalabu kuwaona wanasoka mbalimbali wa nguli wa enzi hizo wakitumika kufanya tathmini na chambuzi mbalimbali katika michezo ya soka kitu ambacho tulitegemea pia kumuona akifanya nahodha wetu huyu wa zamani aliyerithi mikoba ya unahodha kwenye timu yetu ya taifa kutoka kwa marehemu ISSA ATHUMAN MGAYAambae alikaana mikoba hiyo kwa muda mrefu nadhani baada ya CHARLES BONIFACE MKWASSA kustaafu.

Watu wa mpira popote mlipo msaada tutani yu wapi Hussein???

Nawasilisha.
Yupo uk anafanya biashara!!!!!
 
Kama si kuchoma mahindi Kirumba.

mza imetoa wachezaji wengi mahiri wa nchi hii!!!na ni kweli wengine huishia kunywa gongo kama kina marehemu dan muhoja au kushinda misikitini kama kina Kitwana Selemani!!!but for Hussein Masha,Clement Kahabuka,George Magere Masatu,these are among the wana Mza waliofanikiwa throgh Soka!!!!
 
Kitwana seleman sio mtu wa mwanza ni mtu wa bagamoyo mwanza alikuja kimaisha tu lakini asili yake ni bagamoyo labda kaamua kulikita tu hapo mwanza kwa kuwa ndipo alipopazoea.

Marsha kweli kapotea,pia athuman china na michael paul hawa walikua viungo bora kabisa kupata kutoke hapa bongo bila kuwasahau Marehemu Method Mogela na Gagarino Hamis Gaga.

China nasikia nae yuko huko huko uk but huwa anaonekana onekana bongo,marsha naona hana makaratasi ndio maana anashindwa kuja kuwajulia hali ndugu zake pale kariakoo nyamwezi kwa mzee Amani mdogo na huko mwanza..la kuwekwa kinyumba sijui ukweli wake uko vipi,tunaomba ufafanuzi zaidi kwa mnaojua
 
Asili ya mtu c tija ila ni kwamba mpira wake wote umetokea mza,from RTC-Mza!!ukitaka kumpata nenda msikiti wa magomen kirumba mza
 
Wadau wa michezo hususan soka yuko wapi huyu mwanasoka nguli nahodha wa timu yetu ya taifa kwenye miaka ya tisini?Nani anajua alipo kama yuko hai na anajishughulisha na nini?maana ni miaka mingi sijamsikia popote akitajwa ama kuonekana,ni aghalabu kuwaona wanasoka mbalimbali wa nguli wa enzi hizo wakitumika kufanya tathmini na chambuzi mbalimbali katika michezo ya soka kitu ambacho tulitegemea pia kumuona akifanya nahodha wetu huyu wa zamani aliyerithi mikoba ya unahodha kwenye timu yetu ya taifa kutoka kwa marehemu ISSA ATHUMAN MGAYAambae alikaana mikoba hiyo kwa muda mrefu nadhani baada ya CHARLES BONIFACE MKWASSA kustaafu.

Watu wa mpira popote mlipo msaada tutani yu wapi Hussein???

Nawasilisha.

Huyu jamaa alikua anajua sana mpira,yani hawa ndio wangeikuta taifa stars hii ya sasa inayolelewa vyema tungecheza kombe la dunia
 
Hussein Amani Marsha alikuwa anacheza soka kwa madaha, ingekuwa siku hizi tungesema kwa mapozi !
 
Basi kweli huyo mama kajua kumficha Hussein maana hata kusika hasikiki,nimemsaka kila mahali kuanzia facebook kote Hussein hapatikani...!huyo mama ni raia wanchi gani?na je ni mzungu au kipera kama sisi????

Lakini nakumbuka alioa mtoto mmoja wa kimanga kwao moshi mjini pale sasa sijui alimmwaga baada ya kumpata huyo mama au vipi..

Ni mswahili huyo dada kabila ndo sina uhakika nalo!hiyo ya kuoa Moshi sijui ila nakumbuka alikua na mchumba wake pale Sinza enzi zile na alishaachana nae siku nyingi sana!
 
Huyu jamaa alikuwa anaitwa Hussein Amani Masha,jamaa alikuwa hakosi penati huyu..sasa kikosi cha Simba alikuwa na George Masatu kama rebelo na Mwameja golini da!!
 
Back
Top Bottom