Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,601
- 14,389
Anajitambua!Bila shaka huyu mwanaharakati katika kipindi cha Kikwete alikuwa mbele kukemea ukiukwaji wa sheria pamoja na kuikemea serikali, ila cha ajabu katika awamu hii amekuwa kimya sana mpaka hili la makonda la kuivamia clouds ambalo limetikisa nchi yeye yuko kimya.Kipi kimempata huyu mwanaharakati?View attachment 486956
kwahiyo kipindi kile alikuwa hajitambui?Anajitambua!
kwahiyo kipindi kile alikuwa hajitambui?Anajitambua!
Juzi mbona aliojiwa AZAM TV ...punguza basi ubaguziChunguza dini yake utajua
sijamsikia mkuu, vipi alikuwa anasemaje?Juzi mbona aliojiwa AZAM TV ...punguza basi ubaguzi
Wewe ulichunguza dini yake?Chunguza dini yake utajua
Kuwa hawezi kuikosoa serekali inayo ongozwa na mwanajumuiya mwenzakeWewe ulichunguza dini yake?
Akichunguza atajua nini?
Unaweza kulithibitisha hilo?Kuwa hawezi kuikosoa serekali inayo ongozwa na mwanajumuiya mwenzake
Watakan 'kata ewe muumi'ninManaswara enzi za JK kelele zilikuwa kama miluzi. Kaingia mtu wao wote kimyaaaa
Sio ubaguzi...ni UpumbavuJuzi mbona aliojiwa AZAM TV ...punguza basi ubaguzi
Inanikumbusha enzi za mtukufu Daniel Arap Moi, sifa zote na utukufu alikuwa anapewa yeye tu!!Mkuu! Kuikosoa serikali siku hizi ni jinai!! Akina Bi kijobisimba na Ananilea nkya unawasikia siku hizi? Ole ngurumwa kawa bubu ghafla! Hujiulizi kulikoni? Nape Nnauye aliyekuwa mpigania chama amegeuka adui wa chama! Kisa kukosoa wenye mamlaka
Soon tutawapata akina Charles Njonjo naInanikumbusha enzi za mtukufu Daniel Arap Moi, sifa zote na utukufu alikuwa anapewa yeye tu!!