Sijui kwanini msanii akiimba kitu kinampata
PNC aliimba imebuma na akabuma
Ferooz starehe ,kweli starehe hazikumuacha salama
Q chillah kuhusu ndugu kweli alipokuwa drug addicted ndugu zake walimtupa .he was dumped
Kuandika na kuimba huwa kuna nguvu kubwa Sana. Spirituality