Yuko wapi mwanaCCM Ismail Aden Rage?

Yuko wapi mwanaCCM Ismail Aden Rage?

Kwa kuwa umeulizia kujua yuko wapi acha nikusaidie kidogo!
Ametoka Macca(Wiki chache zilizopita)alikwenda Hija yeye na familia yake! Ana kampuni kadhaa na ni shareholder wa kampuni mbili kubwa za Kimataifa moja ina Makao Makuu SA. Ana tenda nono ya mradi mkubwa sana ! Kwa tunao fahamu muda mrefu sasa hali yake ya uchumi ni zaidi ya Mara kumi ya alivyofahamika! He is Good Gari zake zimezagaa Tabora shughuli za kituo cha Radio na Cable TV kawaachia vijana wake kusimamia
Cable za kampuni zake zinaitwahe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa namuona pale opposite NIC KITEGAUCHUMI kwenye bonge la ghorofa,nadhani ni lake
 
Kwa kuwa umeulizia kujua yuko wapi acha nikusaidie kidogo!
Ametoka Macca(Wiki chache zilizopita)alikwenda Hija yeye na familia yake! Ana kampuni kadhaa na ni shareholder wa kampuni mbili kubwa za Kimataifa moja ina Makao Makuu SA. Ana tenda nono ya mradi mkubwa sana ! Kwa tunao fahamu muda mrefu sasa hali yake ya uchumi ni zaidi ya Mara kumi ya alivyofahamika! He is Good Gari zake zimezagaa Tabora shughuli za kituo cha Radio na Cable TV kawaachia vijana wake kusimamia
Well said, mzee Rage hana njaa
 
Huyu ni miongoni mwa wanaccm waliofanya siasa za hovyo zilizojaa kejeli na vitisho , kule Igunga Tabora aliwahi kupanda kwenye jukwaa la kampeni akiwa Bastola kiunoni kwa lengo la kutisha wapiga kura .

Alikuwa miongoni mwa wabunge duni wasio na mchango wowote bungeni kwa kipindi cha miaka mitano na aliongoza kwa kugonga meza hata kwa hoja za hovyo , pia alishiriki shambulio lililokusudia mauaji ya kada wa chadema mkoani dodoma .

Aliwahi kufungwa jela kwa wizi wa vifaa vya soka , Ikiwemo mipira ya ADIDAS iliyokadiriwa kufikia 50 akiwa Katibu Mkuu wa FAT na baadaye kuachiwa huru kwa msamaha wa Rais.

Nauliza alipo maana sijamuona kwenye harakati za sasa za ccm , chama alichokiabudu kuliko hata Mungu wake .
RAGE yupo na mishe zake zaidi.mfano pale tabora anamiliki kampuni ya uchimbaji wa visima na ana kituo cha redio.

aliwazingua wana mboka walipompiga
chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mmojawapo wa washauri wa Simba !
 
Back
Top Bottom