Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,446
- 271,973
- Thread starter
- #41
Mjomba yote hayo nayafahamu bali hayawezi kuficha ukweli kwamba Rage alifungwa kwa wizi wa vitu vya hovyo sana pale FATKwanza ingefaa uchunguze uyasemayo. Rage baada ya kuachiwa kwa msamaha wa Raisi Mkapa, alifungua kesi ya kulisafisha jina lake na kuonyesha mahakama kuwa alifungwa bila ya hatia.
Mahakama ya rufaa haikumkuta na kosa lolote lile na kulisafisha lake.
Pili huyu ni msomali na hawa ndugu zetu hawakurupuki ni watu wenye msimamo na wanapenda kuheshimu na kuheshimiwa. Rage kashindwa ubunge na amekubali kushindwa, haoni sababu ya kufanya siasa zisizo na tija akijua kuna mbunge na kipenzi cha wana Tabora.
Ukitaka kuwajua wasomali mashuhuri Tanzania na wakivyokuwa na heshima:
1.Kinana
2.Rage
3. Bashed
4. Marehemu Dirie aliyeku waziri na alitokea Zanzibar.
5. Mohamed Msomali mchezaji mpira.
6. Hassan Gobos- mpira
7. Bw Karie kiongozi wa FAT
8. Agostino Mrema.
9. OMARI MUHAJI
Kwa kuongezea , ni kwamba nazifahamu pia njama zake za kujisafisha ili aweze kugombea ubunge .
Mwisho - Nakushukuru kwa kunifahamisha uraia halali wa Agostino Mrema
