Wabunge wa tabora bhana, ndo maana no maendeleo. Munde eti naye mbunge[/QUOTEMUnde Tambwe ?
kiseme sasa, kafumaniwa?Hivi unakijua kisa cha kumuulizia ?
kiseme sasa, kafumaniwa?
ukianza kukumbushia story za zamani ziko nyingi,afadhali huyo, yuko aliyempiga mwana ccm mwenzake na bakora, ushamjua?
Yupo wenje?yupo highnes?yupo wapi vinceny nyerere?acheni ukarai nyie watu yaani mnashindwa kabisa kuleta hoja mnaleta vioja!kweli sasa hivi hamna agenda kilichobaki ni kuokoteza viojaCCM ikikutumia huwa inakutupa kabisa , alishapigwa chini kitambo tu , na hii iwe fundisho kwa vijana wengine wachumia tumbo , kwamba usimpuuze Mungu kwa sababu ya ccm .
Hahaha daaah ulikuw jela????Hivi ni bado Mbunge?
Itakuwa faraja sana kwangu siku CCM ikimtupa binadamu anayeitwa Nkamia.Anatuanzia mjadala wa kipuuzi utakaoishia kuligawa Taifa.Hovyo sana huyu jamaa.CCM ikikutumia huwa inakutupa kabisa , alishapigwa chini kitambo tu , na hii iwe fundisho kwa vijana wengine wachumia tumbo , kwamba usimpuuze Mungu kwa sababu ya ccm .
Ni mbunge mstaafu yuko TaboraHivi ni bado Mbunge?
Mmmmm this is NOT true. Tabora ni ndogo hayo unayosema hayaonekaniKwa kuwa umeulizia kujua yuko wapi acha nikusaidie kidogo!
Ametoka Macca(Wiki chache zilizopita)alikwenda Hija yeye na familia yake! Ana kampuni kadhaa na ni shareholder wa kampuni mbili kubwa za Kimataifa moja ina Makao Makuu SA. Ana tenda nono ya mradi mkubwa sana ! Kwa tunao fahamu muda mrefu sasa hali yake ya uchumi ni zaidi ya Mara kumi ya alivyofahamika! He is Good Gari zake zimezagaa Tabora shughuli za kituo cha Radio na Cable TV kawaachia vijana wake kusimamia
Huyu ni miongoni mwa wanaccm waliofanya siasa za hovyo zilizojaa kejeli na vitisho , kule Igunga Tabora aliwahi kupanda kwenye jukwaa la kampeni akiwa Bastola kiunoni kwa lengo la kutisha wapiga kura .
Yupo wenje?yupo highnes?yupo wapi vinceny nyerere?acheni ukarai nyie watu yaani mnashindwa kabisa kuleta hoja mnaleta vioja!kweli sasa hivi hamna agenda kilichobaki ni kuokoteza vioja
Hela za Okwi zimetumika sana kufanya utapeli simbaAnakula pesa za Okwi
Muhina acha uongo embu sema gari gani zinazozagaa zarage tabora zitaje hapaKwa kuwa umeulizia kujua yuko wapi acha nikusaidie kidogo!
Ametoka Macca(Wiki chache zilizopita)alikwenda Hija yeye na familia yake! Ana kampuni kadhaa na ni shareholder wa kampuni mbili kubwa za Kimataifa moja ina Makao Makuu SA. Ana tenda nono ya mradi mkubwa sana ! Kwa tunao fahamu muda mrefu sasa hali yake ya uchumi ni zaidi ya Mara kumi ya alivyofahamika! He is Good Gari zake zimezagaa Tabora shughuli za kituo cha Radio na Cable TV kawaachia vijana wake kusimamia
Nakumbuka ktk picha hii Rage ndie alitumia mti wa chuma kumshambulia huyu dogo kama anapiga nyoka vile, Rage Mungu ni wa ajabu sana, dhambi ile itatembea na wewe milele.