franksarry
JF-Expert Member
- Nov 9, 2009
- 1,284
- 481
Kuna mdada mrembo mwa j ni muda sasa simuoni humu mwenye taarifa nimemmiss sana.
Umesema Mdada, yaelekea yupo na kabanwa ktk ndoa yake...
Ila ipo siku atajitokeza na kutujibu wapi alikuwepo!!
Vuta subira.