Yuko wapi mstaafu kikwete?

Yuko wapi mstaafu kikwete?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,709
Reaction score
25,490
Huyu baba sio kawaida yake.
Haiwezi kupita week hujamsikia kwenye chombo cha habari ,ila nashangaa kawa kimya hata kwenye kampeni za wanafamilia wake haonekani mara kwa mara.
Yuko wapi huyu baba?
 
Nenda Msoga utamkuta!

Halafuuu, anafaida gani kwa sasa? Maana nchi inanung'unika mambo uanavyofanyika halafu yeye yuko kimya kama siyo kuzidi kuyafurahia kabisa??
 
Huyu baba sio kawaida yake.
Haiwezi kupita week hujamsikia kwenye chombo cha habari ,ila nashangaa kawa kimya hata kwenye kampeni za wanafamilia wake haonekani mara kwa mara.
Yuko wapi huyu baba?
Hapo Msoga nyumbani kwake hayupo?
 
Huyu baba sio kawaida yake.
Haiwezi kupita week hujamsikia kwenye chombo cha habari ,ila nashangaa kawa kimya hata kwenye kampeni za wanafamilia wake haonekani mara kwa mara.
Yuko wapi huyu baba?
Nasikia kazira baada ya kusutwa mitandaoni kwamba amekua kimbelembele sana . Kwanza raia hamna wema si mlisema atulie nyumbani alee wajukuu?
 
Mstaafu asiyetaka kustaafu atastaafishwa kuna jamaa aliandika hivyo kwenye thread state imeamua
 
Back
Top Bottom