Yuko wapi msanii "Mtunis"?

Huyu arudishe mpira kwa kipa na uzee wote huu? Tatizo u marioo. Then ndo akapangishwa hapo Upanga, baada ya kuachwa ndo karud huko kwao lol.
Ila wanawavuaga pichu bure madem
Ila wengine wakiwataka madem hao
Wanawapiga invoice,madem wa kbngo F kabsa

Ova
 
"Muda wote wako pamoja kama bata"
...........
 
Huyu Tino nmeishi nae jirani kigamboni miaka ya 2011
 
Msweden unamdiss mtunis
 
Mwana inaelekea una hasira naye kwelikweli
 
Alikuwa anauza kiduka cha nguo pale sinza baadae akawa mganga wa kienyeji
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…