Alvajumaa JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 5,550 Reaction score 7,050 Aug 9, 2021 #21 Nimeshakula ugali ngangari wanaonijua siwajui nawachunia washamba hao, Jose mtambo mzee wa Kigambonino
Nimeshakula ugali ngangari wanaonijua siwajui nawachunia washamba hao, Jose mtambo mzee wa Kigambonino
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 63,919 Reaction score 97,957 Aug 9, 2021 #22 Ni wakati wa kujilinda sasa ,utakoma utaenya na kithaa thaa - 1996 Ngoma ya ukimwi. Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio? Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa. www.jamiiforums.com
Ni wakati wa kujilinda sasa ,utakoma utaenya na kithaa thaa - 1996 Ngoma ya ukimwi. Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio? Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa. www.jamiiforums.com
othiambo JF-Expert Member Joined Nov 15, 2014 Posts 2,011 Reaction score 2,821 Aug 9, 2021 #23 Simon Adebisi said: Jos masihara ebana eee Click to expand... Umeniwaui jos masihara hatari Sana
Melancholic JF-Expert Member Joined Oct 12, 2018 Posts 3,645 Reaction score 6,675 Aug 9, 2021 #24 Brooklyn N said: Inaitwa Rais wa ghetto hiyo hivi yule msela aliyechana verse ya kwanza sijui nani yule aliua Sana. Click to expand... Yule anaitwa X-ray ukimskia vzr unaweza kudhani saigon
Brooklyn N said: Inaitwa Rais wa ghetto hiyo hivi yule msela aliyechana verse ya kwanza sijui nani yule aliua Sana. Click to expand... Yule anaitwa X-ray ukimskia vzr unaweza kudhani saigon
K King tox Senior Member Joined Aug 7, 2021 Posts 153 Reaction score 111 Aug 9, 2021 #25 Bigg Jose noma sana
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 63,919 Reaction score 97,957 Jun 19, 2026 #26 FRESHMAN said: Shabiki wake nimem miss sana. Nimekumbuka wimbo wake wa darasa huru Wasanii wa zamani walikuwa na ngoma kali sana ila pesa wengi hawakupata. Walipata ma promota tu Click to expand... Anahitaji Rehab kama alivyopewa Dullayo. Cc😛ili Masana.
FRESHMAN said: Shabiki wake nimem miss sana. Nimekumbuka wimbo wake wa darasa huru Wasanii wa zamani walikuwa na ngoma kali sana ila pesa wengi hawakupata. Walipata ma promota tu Click to expand... Anahitaji Rehab kama alivyopewa Dullayo. Cc😛ili Masana.