Yuko wapi Mh Zitto?

kwa hiyo bungeni hatokwenda?
Wewe buku 7 zitto anakuhusu nini Kama siyo unafiki tu?
Waulizie green devils wenzako ambao Kwa muda mrefu hawajulikani walipo, Kama Nyalandu, January magamba, Ezekiel Maige na faizafuska. acha unafiki wewe.
 

Kuna kiongozi alisema Kama sijakosea, "wengine wamekuwa wanasafiri nje kuliko wanavyotembelea majimbo yao".
https://www.facebook.com/Huyu Jeremy Corbyn ana tofauti na Lipumba, anangangania madaraka na Conservative party na SNP wamemfunika vibaya sana!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…