Yuko wapi Mh Zitto?

Zitto ni level nyingine, ni mtu wa dunia nyingine kabisa-mcheki tu usoni kwake (sio lile baka) utaona kitu alichonacho (huwezi ona najua hata mshana hawezi hilo halipingiki) utagundua kuwa si rahisi kumkamata kama panzi labda ajilete mwenyewe kwa hiari.
Mtangoja sana.
 
Mbunge asipohudhuria vikao vya bunge bila ruhusa ya Mh. Spika huadhibiwa. Adhabu itategemea na idadi ya vikao ambavyo hatahudhuria kwa sababu za kipuuzi za kujipoteza. Anaweza hata kupoteza ubunge wake for not being sane.
 
Uhai wa mtu una thamani zaidi ya ubunge,chukueni huo ubunge wenu tunachotaka Mh.Zitto awe hai tu,ubunge kitu gani?
 
Jee na simu yake pia haipatikani? Kama jibu ni ndiyo bsi hali ni mbaya na uchunguzi inabidi uanze haraka iwezekanavyo na uanzie kwa wanafamilia/ mke wake. Yanaweza kusaidia pia kupata jibu la kupotea kwa Saa 8.
 
NA UKIJUA ALIPO UTAFANYAJE

OVA
 
Kaonekana kwenye vijiwe vya Kahawa na Ben saa7 Mbagala wakirandaranda.
 
Mbunge asipohudhuria vikao vya bunge bila ruhusa ya Mh. Spika huadhibiwa. Adhabu itategemea na idadi ya vikao ambavyo hatahudhuria kwa sababu za kipuuzi za kujipoteza. Anaweza hata kupoteza ubunge wake for not being sane.
It is also insane for a sober person to submit himself to the draculars searching for his blood!!
We have draculas on the Stirling wheel beware!!
 
Yupo likizo ya uzazi. Nilisikia mke wake amejifungua mtoto wa kike
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…