Kapotelea wapi Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM) Mh. Nimrod Mkono?

segela

Member
Jun 28, 2013
75
69
Habari wadau?

Hivi huyu mwanasheria wakili msomi nguli wa sheria za kimataifa yuko wapi maana asikiki tena hata ile kauli mbiu yake ya mkono kwa mkono inaelekea kusahaulika vichwani mwa wananchi.

Au ni mgonjwa yuko nje ya nchi maana hata vikao vya bunge sija msikia siku za hivi karibuni
 
Ana
Anaumwa umwa huyo Mzee anapambana na afya yake! Ila mara chache sana huwa anaonekana ofisini kwake! Pole sana Mh Mkono
Mh mkono anaumwa nini na hali yake ikoje kwa sasa kwa alie na taarifa zake
 
mmmmh! kumbe anaumwa mzee wetu. Huwa ananipa raha sana maana askari wa usalama barabarani walishamjulia wakiona gari yake wanaipiga mkono ipaki pembeni, halafu wakisogea wanajidai "ooooo kumbe ni wewe mheshimiwa" kinachofuatia ni saluti ya nguvu: hapo hapo mzee mkono anaingiza mkono mfukoni askari anapewa kitu cha uhakika! chezea Mkono wewe
 
Wadau wapo wapi hawa
watu ? ilikua kawaida sana kuwaona hawa wakitanua mijini kwa awamu zilizopita ila kwa sasa wamenywea wasijulikane walipo. Heshima kwa JPM kwa kuleta nidhamu kote serikalini na mtaani.
 
Watanzania IQ ndogo, watanzania wengi washirikina, watanzania wengi maskini wa kutupwa, watanzania waongoza kwa husda, watanzania wengi vichaa, etc. Ni tafiti zilizoleta matokeo yanayothibitishwa na post kama hizi. Hawaonekani barabarani sawa wewe unapata nini? Faida gani? Unaongezeka nini?
 
Naunga Mkono Hoja!
 
Yaani huu ni UMASKINI na UFUKARA mkubwa kwenye AKILI i za mleta huu uzi..

Yani watu wakiwa kwenye matatizo kwa baadhi ya watu ni furaha halafu eti ndio heshima aliyoleta JPM!!??
Heshima gani hiyo??

Hujui ni janga kubwa kiasi gani kwa mtu kama Mkono na wengine wa aina hiyo kupata matatizo?? Ajira ngapi amezitoa kwa watanzania??

So Poor and Low IQ.
 
Wadau wapo wapi hawa
watu ? ilikua kawaida sana kuwaona hawa wakitanua mijini kwa awamu zilizopita ila kwa sasa wamenywea wasijulikane walipo. Heshima kwa JPM kwa kuleta nidhamu kote serikalini na mtaani.
Unafurahia nini? Wewe umemaliza shule ya kata, hutakaa upate ajira ya maana, ukioa utatombewa maana huna uwezo wa kumtunza mke, unafurahia Mukono kutoonekana, inakusaidia nini? stupid blood bastard boy
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Yaani huu ni UMASKINI na UFUKARA mkubwa kwenye AKILI i za mleta huu uzi..

Yani watu wakiwa kwenye matatizo kwa baadhi ya watu ni furaha halafu eti ndio heshima aliyoleta JPM!!??
Heshima gani hiyo??

Hujui ni janga kubwa kiasi gani kwa mtu kama Mkono na wengine wa aina hiyo kupata matatizo?? Ajira ngapi amezitoa kwa watanzania??

So Poor and Low IQ.
Mkuu usipoteze muda na watu kama hawa sabb madhara ya yanayofanywa na Pogba inahitaji miezi mitatu tu ijayo kila mmoja atayaona. Kila siku wawekezaji wanafunga biashara zao na kukimbilia nje ya Nchi. Mapato ya serikali yanazidi kushuka kila uchao na madhara yake ni kukosa huduma muhimu za afya na elimu
 
Back
Top Bottom