Yuko wapi Mama yetu Janeth Magufuli?

Status
Not open for further replies.
Ila kiukweli...mwenyewe najiulizaaa sipati majibu.....wenye kuujua ukweli tafadhali...mkuje.
 
Kuna mauzamauza nyuma ya pazia, mbona yule dada yenu wa ughaibuni kila siku anawaambia jamani
 
Ni mkuu huko kisalawe
 
Oa mwanamke ambae hamtabisha kwenye maamuzi usioe mwanamke wote ni vichaa hapo ndo shuguli huanza akisema sitaki hiki huwez change, akisema siendi leo na ww haend kweli
 
Kama huna sababu ya kupiga simu basi sidhani nia yako ya kutaka kujua mke wa rais yuko wapi, ni ya dhati.

Unaandika tu hapa ili wewe na wenzako mpate upenyo wa kuanza kumponda Magufuli kupitia jina la mkewe.

Shameful.
Watampondaje wakati wake wa marais wengine waume zao hawakupondwa basi kunatatizo sehemu
 
Acha kuchunguza familia za watu.
Inaonekana jiran yako unajua mpaka ratiba zao za kula
 
Dah...usipoteze muda...tumia muda vizuri tujenge nchi..

Ofisi ya Rais – Ikulu – President’s Office – State House
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…