Sina sababu ya kupiga simu Mkuu Nyani Ngabu..........Piga simu ikulu uwaulize.
Sina sababu ya kupiga simu Mkuu Nyani Ngabu..........
Kama wewe unajua kinachomsibu Mama yetu huyo kiasi cha kumfanya awe so cool, basi naomba uwajulishe Umma wa watanzania ambao wana hamu ya kumuona akiwa active na shughuli za kisiasa za nchi hii, kama ilivyo kawaida ya maFirst Lady wa nchi hii waliomtangulia
Sasa unashindwa juwa mama yako alipo...muulize baba yako.Ni kawaida Mke wa Rais wetu, ambaye tunamwita First Lady, kiheshima tunamuita mama yetu
Mkuu Nyani Ngabu unawezaje kutabiri kuwa lengo la post hii ni kumponda Magufuli?Kama huna sababu ya kupiga simu basi sidhani nia yako ya kutaka kujua mke wa rais yuko wapi, ni ya dhati.
Unaandika tu hapa ili wewe na wenzako mpate upenyo wa kuanza kumponda Magufuli kupitia jina la mkewe.
Shameful.
Mkuu Nyani Ngabu unawezaje kutabiri kuwa lengo la post hii ni kumponda Magufuli?
Mimi kama mtanzania ni wajibu wangu kudadisi na kutaka kujua "whereabouts" za watu wetu maarufu
Au ndiyo kusema "limekuchoma" kwa maana ya "Guilty are always unconscious"
Nyani vipi mbona mkali sana safari hii?
Hako ka udhaifu kwa sweetheart ambako kapo kwenye asili yetu wanaume ni kwa mtu binafsi kukathibiti vinginenevyo tunaombea baba na mama wakae kwa amani kabisa maana wametoka mbaliRumours has it sweetheart ndiye mwenye credits za kubadli wardrobe ya mtukufu
Kama huna sababu ya kupiga simu basi sidhani nia yako ya kutaka kujua mke wa rais yuko wapi, ni ya dhati.
Unaandika tu hapa ili wewe na wenzako mpate upenyo wa kuanza kumponda Magufuli kupitia jina la mkewe.
Shameful.
shame on you
....huu umma ulikutana nao wapi !?Sina sababu ya kupiga simu Mkuu Nyani Ngabu..........
Kama wewe unajua kinachomsibu Mama yetu huyo kiasi cha kumfanya awe so cool, basi naomba uwajulishe Umma wa watanzania ambao wana hamu ya kumuona akiwa active na shughuli za kisiasa za nchi hii, kama ilivyo kawaida ya maFirst Lady wa nchi hii waliomtangulia
Wewe na nani !?Ni kawaida Mke wa Rais wetu, ambaye tunamwita First Lady, kiheshima tunamuita mama yetu