Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,642
- 5,088
Yuko pale Benchi la Lumumba abasubiri Posho.Ni muda mrefu sasa hatuoni nyuzi mfuatano za ndugu yetu, mzalendo na mnyenyekevu; bwana Lukas Mwashambwa.
Ajitokeze aseme wapi alipo na kwa nini amepoa hivyo.
Ama kuna mtu anayefahamu juu ya haya atueleze.
Wewe ndiye huyo Lucas Mwashambwa naona Rais Samia kakupotezea unajaribu kujichekesha chekesha kama muuza k vile. HUTEULIWI NG'O !!!!Ni muda mrefu sasa hatuoni nyuzi mfuatano za ndugu yetu, mzalendo na mnyenyekevu; bwana Lukas Mwashambwa.
Ajitokeze aseme wapi alipo na kwa nini amepoa hivyo.
Ama kuna mtu anayefahamu juu ya haya atueleze.
Multiple IDsNi muda mrefu sasa hatuoni nyuzi mfuatano za ndugu yetu, mzalendo na mnyenyekevu; bwana Lukas Mwashambwa.
Ajitokeze aseme wapi alipo na kwa nini amepoa hivyo.
Ama kuna mtu anayefahamu juu ya haya atueleze.
Tupo nae jikoni HUKU tunaandaa nyuzi mpya za "anameremeta"Ili mama yetu apite KWA kishindo 2025!Ni muda mrefu sasa hatuoni nyuzi mfuatano za ndugu yetu, mzalendo na mnyenyekevu; bwana Lukas Mwashambwa.
Ajitokeze aseme wapi alipo na kwa nini amepoa hivyo.
Ama kuna mtu anayefahamu juu ya haya atueleze.
Tatizo la huyu dogo anapishana na uwepo wa fursa nzuri za uchawa wake. Kile kipindi cha mwanzo kabisa cha sakata la DPW ndipo haswa alipaswa kuwekeza zaidi uchawa wake hapo na kisha kuweka namba yake ya simu.Ni muda mrefu sasa hatuoni nyuzi mfuatano za ndugu yetu, mzalendo na mnyenyekevu; bwana Lukas Mwashambwa.
Ajitokeze aseme wapi alipo na kwa nini amepoa hivyo.
Ama kuna mtu anayefahamu juu ya haya atueleze.
Kala teuzi nini [emoji1]Ni muda mrefu sasa hatuoni nyuzi mfuatano za ndugu yetu, mzalendo na mnyenyekevu; bwana Lukas Mwashambwa.
Ajitokeze aseme wapi alipo na kwa nini amepoa hivyo.
Ama kuna mtu anayefahamu juu ya haya atueleze.
Hivi karibuni chawa wote walipewa onyoNi muda mrefu sasa hatuoni nyuzi mfuatano za ndugu yetu, mzalendo na mnyenyekevu; bwana Lukas Mwashambwa.
Ajitokeze aseme wapi alipo na kwa nini amepoa hivyo.
Ama kuna mtu anayefahamu juu ya haya atueleze.
Wee chawa acha kutupanga!!!Ni muda mrefu sasa hatuoni nyuzi mfuatano za ndugu yetu, mzalendo na mnyenyekevu; bwana Lukas Mwashambwa.
Ajitokeze aseme wapi alipo na kwa nini amepoa hivyo.
Ama kuna mtu anayefahamu juu ya haya atueleze.
Subiri Habari Mpasuko soon 😀Wampe tu
Ova
Soma uzi vizuri, usipende kukurupuka;wewe ni mtu mzima.Muda mrefu kiasi gani wakati mauharo yako unayamwaga kila siku.
Unatafuta attention?
HahahahahahahaaaaaTaarifa nilizozipata hivi punde kutoka Mbozi, zinasema eti Lucas mwashambwa ameingia studio kufanya remix ya ule wimbo wa mnatuona manyani. Nasikia amechukia sana kukosa uteuzi. [emoji16]
Acheni ufwala... Lucas mwashambwa mbona anaendelea ku post kama chatbot kila baada ya dakika kadhaa🤣🤣🤣Taarifa nilizozipata hivi punde kutoka Mbozi, zinasema eti Lucas mwashambwa ameingia studio kufanya remix ya ule wimbo wa mnatuona manyani. Nasikia amechukia sana kukosa uteuzi. 😁