UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,045
- 9,342
Atarudi karibuni kuendeleza uchawa baada ya uteuzi wa wiki hii kumpita kando.
😆😆😆😆unajaribu kujichekesha chekesha kama muuza k vile
Umesahau kuweka namba ya simuNi muda mrefu sasa hatuoni nyuzi mfuatano za ndugu yetu, mzalendo na mnyenyekevu; bwana Lukas Mwashambwa.
Ajitokeze aseme wapi alipo na kwa nini amepoa hivyo.
Ama kuna mtu anayefahamu juu ya haya atueleze.