Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
hakuna cha damu changa wala nini ishu alikosa uwaziri mkuu basi hana hamu tena.... kaamua kuonesha mgomo kwa kukaa kimya
January ameamua kuondoka/kuchukua likizo kwenye social media zote na hali ya kisiasa kwa sasa inahitaji young voices kama zake. January ni dame changa na naamini kuwa kuna vijana wengi ambao wangependa kusoma na kumsikiza kwenye hafla na mikutano mbali mbali akizungumzia mambo mbalimbali na hususan hali ya kisiasa nchini. As things stand, this country is poised on the brink of a choice between the dangers of authoritarianism, tranny and its historic commitment to dissent. It is essential that the latter prevails. Lakini this can only work if the likes of you come out and speak out.
Tunakuomba Janauary jitokeze tupate maoni yako juu ya maendeleo na mustabkali wa nchi yetu hapa tulipo, tunakokwenda na athari zake kisiasa, kijamii na kiuchumi katika zama hizi za 1984.
Tafadhali January we need you now than ever. Vijana kama akina Aidan Eyakuze wamejitokeza na kutoa maoni yao, akina Zitto na wengine (japo sijaona vijana wanawake kama akina Maria Sarong na wengineo kujitokeza). The bottom line ni kuwa in this era of tyranny the likes of you keeping silent doesn't help this nation. Una demographic (the silent majority) kubwa sana yuma yako mkuu jitokeze ongea na wanafunzi vyuo vikuuu, tembelea media houses, do interviews, write think pieces bring back the good old idealistic January.
Jamaa amekua kimya hadi nashangaa,hivi yuko wapi sasa hivi na ni waziri wa wizara flaniZinapita siku, wiki, miezi na hata mwaka unaisha sasa bila kumwona Kijana Machachari na makini Januari Makamba kuto kumwona au kumsikia katika duru hizi za siasa ya awamu ya tano.
Kwa wanaomtambua Makamba wanaelewa uwezo wake wa kucheza na siasa za Tanzania kama alivyo Lowassa enzi za ujana wake.
Nakumbuka sote tulioshiriki katika uchaguzi wa mwaka jana tulivyo ona mipango ya ushindi wa Magufuli chini ya kijana huyu. Lakini sijui kimetokea nini mpaka kijana huyu machachari kupotezwa kwenye siasa na kutuipwa wizara mfu.
Niseme wazi kwamba pamoja na figisufigisu za kijana huyu mwaka jana lakini ni Hazina pekee ya mipango iliyosalia CCM. Hakuna kijana ambaye unaweza mfananisha na Makamba ndani ya CCM leo, sio Mwigulu wala Kigwangala. Huwezi msikia Makamba katika mihemko na mwendokasi wa hovyohovyo.
Najua wengi wanamlaumu Makamba kwa Bomoabomoa ya mabondeni ilivyofanyika, lakini ukweli ni kwamba bomoa bomoa ile ilifanywa na Lukuvi na Majaliwa.
Magufuli ameshindwa kumtumia Kijana huyu katika wizara kubwa hapa nchini na hii ndio inawezakuwa sababua kuyumba kwa serikali yake.
Je huu ni mwanzo wa kufifia kwa Makamba katika siasa?
Makamba alikosa nini hasa kwa mtukufu Rais mpaka akapewa wizara ile?
Is makamba political Banned???
Karibuni kwenye mjadalaa, matusi, vijembe, hekima na busara ni haki yako, sio uchochezi.