Last time nimemuona ilikuwa ni kwenye video anawatahadharisha wadudu kwenye miti yake ya mikorosho. Aliwapa siku 3 wale wadudu wawe wameondoka wenyewe ama wapambane na nguvu na hasira za bwana Kangi na familia yake wakiwa wamejidhatiti vilivyo na dawa hatari sana za kuuwa wadudu waharibifu wa mazao
Yuko wapi Kangi Lugola? Aliwanyoosha Polisi kwa uonevu. IGP Sirro akaomba msaada Ikulu ili aondolewe uwaziri. Maarufu kama Mabendera ya taifa, huyu jamaa alistahili kuwa waziri wa mambo ya ndani.
Waziri msanii na mwizi kama wengine Hana maajabu. Mipango ya kununua drones za zimamoto Kwa bei ya mchongo ilipogundulika akapigwa chini. Akiwa Polisi na nyota 3 alikuwa uwanja wa ndege na ndipo alipoachia kazi akikimbia tuhuma akakimbilia siasa. Kwa Sasa hata Udiwani kata ya Kibara hapati.

Tuzo yangu imewakasirisha Wajinga wengi sana , ila kwa bahati mbaya sikujichagua , mmetaka taarifa za Lugola tumewawekeeni , sasa majungu ya wivu wa kichawi ya nini ?