Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,632
- 697,796
Nimewaona watu katikati ya wanadamu
Binadamu na ubinadamu, watu na utu! Je watu bila utu wanakuwaje? Wakoje? Watu bila utu hugeuka kuwa majitu. Sifa za majitu zinajulikana jitu halina tofauti na mnyama kuna mstari mwembamba sana unaotofautisha kati ya jitu na hayawani. Hayawani hana utu japo anaweza kuwa mtu. Hayawani hana...
www.jamiiforums.com