Yuko wapi JULIUS MTATIRO?

Supervisor

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
559
207
Wakati chama cha ukombozi CDM kikiendele kutoa elimu ya uraia ili kuwatoa utumwani watanzania natoa ushauri kwa kijana Bw Julius Mtatilo asome alama za nyakati. Kama magamba wasema ccm sio baba wala mama yao itakua cuf?. Hamia airtel ww shauri yako.....
 
Tunaiombea Chadema ili ituvushe, yeyote mwenye nia basi ajiunge kuongeza nguvu.
 
Huyu Mtatiro kwa sasa kwisheneyi.Nguvu ya M4C imemuondoa katika medani za kisiasa
 
Anasubiri kifungo kama hamad rashid alivyowaahidi saa hizi hana jinsi
 
Wakati chama cha ukombozi CDM kikiendele kutoa elimu ya uraia ili kuwatoa utumwani watanzania natoa ushauri kwa kijana Bw Julius Mtatilo asome alama za nyakati. Kama magamba wasema ccm sio baba wala mama yao itakua cuf?. Hamia airtel ww shauri yako.....

Supervisor,
mtatiro ni rafiki yangu na nilijuana nae tukiwa UDSM. Ni jembe kwa uhakika lakini nilimshangaa sana tulipomaliza chuo yeye akachagua kwenda CUF. Nilimwambia kabisa kazi anayoenda kufanya yeye siyo wa kwanza. Wilfred Lwakatare aliwai kuifanya ikamshinda akamua kuhamia CDM. Akunielewa, lakini namjua atarudi kundini tu. Ni swala la muda.

TUMBIRI wa JF
 
huyo mtatiro hana lolote wala CDM haitajiki kabisa hajui siasa ni mtu wa kufata mkumbo anatakiwa ahamie kwa magamba wezake
 
Supervisor,
mtatiro ni rafiki yangu na nilijuana nae tukiwa UDSM. Ni jembe kwa uhakika lakini nilimshangaa sana tulipomaliza chuo yeye akachagua kwenda CUF. Nilimwambia kabisa kazi anayoenda kufanya yeye siyo wa kwanza. Wilfred Lwakatare aliwai kuifanya ikamshinda akamua kuhamia CDM. Akunielewa, lakini namjua atarudi kundini tu. Ni swala la muda.

TUMBIRI wa JF

Ni kweli hata mimi nilikuwa naona harakati zake za kushughulikia BOOM ingawa mimi nilikuwa coet
 
aisee! ni kitambo sasa sijasikia sauti ya Naibu Katibu wa CUF bwana Julius Mtatiro; alisikika sana wakati wa kampeini za uchaguzi mdogo wa Igunga na kidogo katika mchakato wa kuwaengua Hamad Rashid na wenzake kwenye chama baada ya hapo kapotea; ningependa kujua aliko na mawazo yake juu ya siasa ya nchi yetu kwa sasa.
 
Kwa uelewa wangu,Julius Mtatiro ni katibu wa itikadi na ueneze kwa upande wa CUF,lakini naona amekuwa kimya sana kwa siku za hivi karibuni.Sijasikia kauli yake kwa mambo muhimu yanayohusu nchi ambapo huko nyuma alikuwa akitoa kauli mbalimbali.Je,bado yuko CUF??Kwann yuko kimya?Wana jamii naomba kuwasilisha.
 
Imefikia kipindi mpaka CUF sasa imesahaulika
Ni Civic United Front
Nyetk Naomba kusaidiwa swali langu la msingi
 
Mkuu mbona mtatiro yupo 2, mara ya mwisho nakumbuka alikuwa Arusha akitoa povu lakin kwa sasa sijui yupo wapi may be kaenda Oman au saud arabia kwa ziara ya kichama.
 
Wana Jf napenda kuwauliza kuwa ndugu yetu na mwanasiasa kijana Julius Mtatiro amepotelea wapi kwenye medani ya siasa za Tanzania? Au anaangalia upepo ili ikiwezekana ajiunge na M4C?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom