Haya ndiyo majibu aliyoyapata Mtatiro facebook | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya ndiyo majibu aliyoyapata Mtatiro facebook

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PISTO LERO, Sep 28, 2012.

 1. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  [​IMG][h=5]Julius Mtatiro
  [/h][h=5]INASIKITISHA SANA - VIONGOZI WETU WAMEJERUHIWA VIBAYA ARUSHA

  Pamoja na kutoa tahadhari kubwa kwa viongozi wa polisi Arusha, kuwa wenzetu wa CHADEMA wanapanga kwa nguvu zote kuwaogopesha wananchi wa ARusha wasihudhurie mikutano yetu kwa kupanga kuwapiga na kuwaumiza viongozi na wafuasi wetu, jeshi la polisi halikuchukua hatua yoyote.

  Hatimaye dkk chache zilizopita, viongozi na wafuasi wetu wamevamiwa na KUPIGWA SANA KWA MAWE na wafuasi wa CHADEMA walioandaliwa kwa ajili ya kazi hiyo.

  Dhahma hii imewakuta viongozi na wafuasi wetu waliotangulia Katika eneo la SOKO LA KILOMBERO kwa ajili ya kuendelea na matangazo ya mkutano wa jumapili.

  Mawe yalirushwa kama mvua kuelekea kwa wafuasi wetu bila sababu. Ni marundo ya mawe yaliyokuwa yameandaliwa mahsusi kwa ajili hiyo. Cha kushangaza zaidi ni kuwa HAYA yametendeka mbele ya polisi.

  Majeruhi wameshakimbizwa hospitalini.

  Tunajua MUNGU yuko kila upande, lakini SIASA za kutafutana kuuana haziwezi kuwasaidia wananchi.

  Chama kinawaomba wafuasi wetu mahali popote pale walipo WASILIPIZE KISASI, damu inayomwagwa kimakusudi italipwa kwa mkono wa mungu.

  CUF hatutawavizia wanachama na viongozi wa CHADEMA kuwapiga wala kuwaumiza, lakini wakumbuke MALIPO ni hapahapa.


  [/h]Like · · Share · Yesterday at 12:43pm ·
  • Kanali Jr Jr. and 42 others like this.


  • 3 shares


  • 51 of 465
   View previous comments  • [​IMG]
   Twaha Farijalal Hesion hivi zimekutimia wewe kweli?
   22 hours ago · Like

  • [​IMG]
   Twaha Farijalal Chukulia ingekuwa chadema wangepigwa?ama umesahau kama ni mpango wa chama chenu
   22 hours ago · Like

  • [​IMG]
   Fauz Salmin Hayo mlitfanyia cc wazanzbar kwa fitna za baba yenu sö mungu analipa hpa hpa
   22 hours ago via mobile · Like · 1

  • [​IMG]
   Prudence Papian CUF acha fables kafanye utafiti wa source mpaka mpigwe.
   22 hours ago via mobile · Like

  • [​IMG]
   Julius Kimia Kwani wewew Twaha chama gani?
   22 hours ago via mobile · Like

  • [​IMG]
   Muhidin Chedo Hao majeruhi ni wafuasi tu,je vp viongozi hawajaumia?au ndo chambo analiwa kwanza kabla samak hajanaswa?
   22 hours ago via mobile · Like

  • [​IMG]
   Muhidin Chedo Kidumu chama cha wananchi cuf,ila we mtatiro watu hawakupend ujue,hasa swala la hamad rashid,una2miwa na maalim,bora ili tamko angetoa mtu mwingine sio ww
   22 hours ago via mobile · Like

  • [​IMG]
   Joseph James nafikiri neno siasa watu hamlijui mnaingi kichwa kichwatu, xaxay naomba mjue kuwa siasa nimchezo mchafu siasa, ni kipato, siasa niubabe, siasa ni niuchumi na chungu cha haya yote ni ushawishi na kama huamini haya wangapi wame kufa kwaajiri ya siasa? chacha wangwe yuko wapi? sokoine moringe yuko wapi? amina chifupa yuko wapi? mh nakushauri usipeleke timu uwanjani kama huna mazoe? na mkipuzia siasa zita KUGADAFI.
   21 hours ago via mobile · Like

  • [​IMG]
   Budo Idd He!chadema nao wanaona wifu. aah! hatwendi hivyo jamani siasa gani sasa hizo za kuumizana tena?
   21 hours ago · Like

  • [​IMG]
   Joseph James natumia nafac hii kuwa karibisha ndugu jamaa na marafiki kwenye doa ya madatula(Nhalikwa Helman) ameamua kuoa baada ya kuona shule ina mzingua ikiwa pamoja na kumnyima mkopo bibi arusi ni Diana mwesa, karibuni sana washikaji zake wa lindi,shelehe itafanyikia kwenye ukumbi wa shule ya ngoma sec school tarehe 05/10/2012 saa 16:00hrs.
   21 hours ago via mobile · Edited · Like

  • [​IMG]
   Bicco Mathew una uhakika kwamba ni CDM,weka picha za kudhibitisha.
   21 hours ago · Like

  • [​IMG]
   Mabula Kazabula The end will justify the means. Professionalism
   20 hours ago via mobile · Like

  • [​IMG]
   Mbaraka Chembe wamepigwa na mgamba sio chadema
   20 hours ago · Like

  • [​IMG]
   Ben Ally Zainul-aabidiin Vita vya panzi..........
   20 hours ago · Like

  • [​IMG]
   Riziki Mbembela Sr. acha uongo mtatiro.kwannn unakimbilia kutuhumu cdm pekee.ama kweli CUF ni CCM ndogo.asa CHADEMA iharibu mikutano ya CUF kwa ipi?kweli mti wenye matunda ndo unapigwa mawe.
   19 hours ago · Like

  • [​IMG]
   Dennis Sasabo We Mtatiro tafuta vitu vya kuongea kwenye huu mtandao wa kijamii unless utapwaya na U-CCM (B) wako!! Acha kuichafua Chadema, kama umetumwa na CCM (A) basi nenda ukajipange upya.
   19 hours ago · Like · 1

  • [​IMG]
   Adolf Mkono yaani hapo inatafutwa tension ya watu kuhudhuria mkutano tu basi! nendeni pemba kwenu bana!
   18 hours ago · Like

  • [​IMG]
   Seleman Pilly mtatiro peleka ii issue jf mkajadili huko! lkn c ndo sahasa za tz unalia nn!
   17 hours ago via mobile · Like

  • [​IMG]
   Hamenya Runaku Mtatiroooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! nafsi yako inajua unachofanya kwa wa tz, acha hizo bro!!!!!!!!!!!!!
   11 hours ago · Like

  • [​IMG]
   Peter Joseph ila ata km ni ccm B kitendo cha kupiga watu sio cha kiuungwana! Na we Mtatiro vp mbona una anza kuwa ivyo, kweli utakiendesha chama kwa sala mra?
   11 hours ago via mobile · Like

  • [​IMG]
   Willy Sikalengo Nyie tunawajua ndo ccm-b,sasa mnalia nn? Nendeni kortini!
   10 hours ago via mobile · Like

  • [​IMG]
   Emil Zengo Julius Mtatiro rafiki yangu hizi sio siasa za Daruso acha kutumika, kama unaona vijisenti vimepungua usijishushe kutumika kiasi hicho, tueleze watanzania tutakuchangia kila mtu akikuchangia 100 kwa watu millioni moja inatosha kuliko hivi unavyotaka kutumika.
   10 hours ago · Like

  • [​IMG]
   Jerry Marandu kaka tafuta ukweli wa mawe kurushwa,jana wamachinga walikuwa wanapiagania maslahi yao,hakika chama chako sio tishio hata kwa ADC hakuna wa kukuhujumu fanya kazi ya kujenga chama,acha porojo za kutafuta umarufu kwa jina la CDm
   9 hours ago via mobile · Like

  • [​IMG]
   Abraham Assenga V4C = Vibaraka 4 Change.
   9 hours ago · Like · 1

  • [​IMG]
   Hussein Shezume chadema vurugu ndio sera zao, mapambano yaendeelee watakoma yu, usikate tamaa kaka
   9 hours ago · Like

  • [​IMG]
   Abdalah Kundavi UNAFIKI wa CUF na viongozi wao ndio huu! Tangu lini CHADEMA ikapatana na polisi kuwavamia watu wengine? Hebu acheni sifa za kijinga umaarufu hauji kihivyo! Tushaona matukio mengi sana yanayohusisha vurumai baina ya polisi na CHADEMA iweje leo waungane kuwavamia ninyi?
   8 hours ago · Like

  • [​IMG]
   Christopher Ngubiagai Kiongozi poleni sana,lkn nilitoa angalizo kwako na kukuambia Bro,kuna vyama vingine c vya kisiasa. Lazima kama Watanzania tukawa makini na namna tunavyotaka kuijenga demekrasia ya ukweli ambayo ni sahihi kwa kila mmoja wetu awe huru kutoa maoni yake na kuulezea kile anachoamini!!!!!
   7 hours ago · Like

  • [​IMG]
   Yohana Igenge Yohana Ccm b mnalilia nini Kumbe wamachinga ni wafuasi wa chadema? Kama ni hivyo chadema wanasitahili kuchukua nchii maana wanaugwa mkono na makundi yote.
   6 hours ago via mobile · Like · 1

  • [​IMG]
   Rashid Mmakonde Mtatiro nenda kamwambie afisa mipango wenu akajipange upya..Hivi mmeona hii ndo njia pekee iliyobaki kuchukulia 'attention' na kuvuta watu kwenye mikutano?(kutafuta huruma ya wananchi?hata kwa kuunda matukio?hata ikibidi kudanganya?) au mnatumika kimkakati na ccm-A ili mwisho wa siku mseme(Polisi wawasemee) wamepiga marufuku mikutano ya kisiasa Arusha kwa sababu za kiusalama?Muue upinzani?..Hivi Mtatiro kuwa kwako mwanasiasa kunakuhalalishia kusema uongo na kujiapizia bila woga wowote?Chunga sana!
   6 hours ago via mobile · Like · 1

  • [​IMG]
   Emmanuel Masonga NATAMANI NIKUTUKANE HIV MTATIRO ILA NAJIHESHIMU SIO KAMA WEWE.
   6 hours ago · Like

  • [​IMG]
   Michael Lawrence Duuh haya no Comment
   5 hours ago via mobile · Like

  • [​IMG]
   Alexius Tama poleni sana
   5 hours ago · Like

  • [​IMG]
   Hapiness Muro poleni.
   5 hours ago · Like

  • [​IMG]
   Baraka Nahum Kimaro kwahili CUF wanakosea kuwatuhumu moja kwa moja Chadema kuhusiana na yaliyo wapata hapo kilombero siku ya leo. Ni dhahiri kwamba lengo lao(CUF) ilikuwa kutumia fursa ya mkusanyiko huo wa wananchi ili matangazo ya mkutano wao yawafikie wananchi walio wengi na pengine ilikuwa ni kutumia fursa ya matatizo ya wananchi hao/wanachinga ili weweze kuuza sera na kuonekana wao(CUF) ni watetezi wa haki za wananchi lakini matokeo yake wananchi kwa kutambua mapungufu na dhamira hasi ya CUF ikabidi wawajibu na kwa vile hawakuwa na vipaza sauti kama vya gari la matamngazo la CUF lugha rahisi ya kuwafikishia ujumbe ikawa ni matumizi ya mawe na hakika sauti ya mawe ikazidi ile ya vipaza sauti na matokeo yake ndiyo hayo kuumia kwa baadhi ya viongozi wa CUF. mpaka hapa sijaona uhusika wowote wa CHADEMA hivyo
   mtatiro awatake radhi CHADEMA kwa kuwaingiza kwenye kashfa isiyo wahusu na pili CUF iwaombe radhi wamachinga wa Arusha kwa kuwaingilia kwenye shughuli yao ya kujitafutia riziki. Namwomba mtatiro atoe vielelezo dhahiri vya uhusika wa CHADEMA kwenye kupokolewa mawe kwa CUF katikati ya kundi la Wamachinga. Angalizo kwa Julius Mtatiro na chama chako wananchi wanajua ukweli siku hizi toka mmeanza V4C ya chama chako mmeonekana kuwaponda na kupambana na CHADEMA kwa hiyo kauli kama hizi kwakweli mnazidi kuwaaminisha watanzania kuwa mnatumika na kutumiwa na CCM katika kuwa dhohofisha Nguvu za chadema na vyama vya Ukombozi kwa Watanzania
   5 hours ago · Like

  • [​IMG]
   Hamidu Mkwinda kazi ipo...............!
   4 hours ago · Like

  • [​IMG]
   Eatlawe Nicodemus Is this aa fact of a fabrication? Kama ni kweli basi sijui 2015 itakuwaje maana kutakuwa na vurugu!
   4 hours ago · Like

  • [​IMG]
   Peter Michael Watanzania wa sasa wana akili ya kupembua mambo so wanajua nini kinachoendelea ktk siasa za nchi yetu! kumbe hawaitaji watu wanaojua kupanga mipango ya kuchafuana wanataka mipango ya kuwakumboa ktk dimbwi la umaskini! kma wanasiasa na vyama vyenu mmeshindwa kutuonesha dila na mwelekeo wa sera za maendeleo ya kweli na njia ya kupambana na umaskini hacheni siasa na mtafute mbadala wa siasa tumechoka kusikia siasa poli! tunataka sera c malumbano ya kijinga yasiyo na tija kwa nchi na wananchi. Mungu ibariki TZ!
   2 hours ago via mobile · Like

  • [​IMG]
   Julius Mtatiro Baraka Nahum Kimaro, hakuna cha wamachinga wala nini.....ile ni mpango na tunaujua vizuri, wewe unayaona kwa nje yanatendeka, Mimi nayajua kwa ndani. VIKAO vyote alivyofanya LEMA akitafuta uungwaji mkono na vijana wa Arusha akiwataka wavuruge mikutano yetu tunavijua. Tunajua mambo mengi sana lakini timu zetu zilizotangulia Arusha zilijipanga.vizuri. TUTATIBUA NJAMA ZOTE ZA KUTUHUJUMU, whether ni kwa kutumia vijana, wanawake au watoto. Na mkutano wetu wa jumapili utafanikiwa sana na itawashangaza wengi.
   50 minutes ago · Like · 1

  • [​IMG]
   Julius Mtatiro Halafu huu mchezo wa kujitangazia ati ukanda fulani ni wa chama fulani, wengine wasiende siyo utaratibu wa kidemokrasia.
   49 minutes ago · Like

  • [​IMG]
   Julius Mtatiro Vijana wasitumike kupiga na kuumiza bila sababu na kisingizip chochote......
   48 minutes ago · Like

  • [​IMG]
   Lello Boni hivi mpaka leo hamjafaham mikoa ambayo watu wanaweza wakapoteza muda kuwasikiliza nyie ....B ,, nendeni lindi, mtwara na tanga si kwingineko otherwise mtaendelea kuumia, msifikirie kuja mwanza
   39 minutes ago · Like

  • [​IMG]
   Julius Mtatiro Lello boni, mwanza ambako nyinyi....C......mmeuza umeya, pamoja na juhudi zetu zote bado mmetufelisha....hamuaminiki lello, na hicho ndicho watanzania wataendelea kujifunza kutoka kwenu.....BUNGENI mnaidharau na kuikimbia CUF kuwa ni CCM B, mwanza kwenye umeya mnabembeleza kuungana CUF ambao ni CCM B ili muokoe umeya, hata hivyo bado mnanunuliwa....tutajua tu nani MSANII....time will tell it.
   27 minutes ago · Like

  • [​IMG]
   Beatrice John So cheap mtatiro very cheap shame on you i was there wakati machinga wanapiga mawe usitafute mchawi acha kutumika wewe na ccm wanakutumia kweli matusi mliyokuwa mnatukana jana ngaranero hayakutosha sio wewe uliyemwambia sijui kiongozi wako mani yule asiogope wingi wa watu spika zenu zinafikia watu majumbani mwenu unataka cheap popularity mtatiro ili uwonewe huruma so sad tupo na jumapili tutaona we kama ccm igunga au umechanganywa na watu kumi na moja mkahairisha mkutano wenu
   25 minutes ago via mobile · Like

  • [​IMG]
   Beatrice John Hata akija profesa mkizidi mia ukitoa wale kumi na moja yamewashinda uzin mtaweza arusha taarabu na hipopop wapi na wapi ingefaa umwambie sultan profesa mwaka 4 huu kura zinapungua tu akagombee udiwani tabora
   21 minutes ago via mobile · Like

  • [​IMG]
   Julius Mtatiro Beatrice John, pole sana mama yangu, kama Mimi natumwa na CCM kutoa mawazo yangu, wewe unatumwa na nani? And infact who knows masikini! Wewe unaweza kuwa unatumika vibaya zaidi bila kujua, hujasoma hata gazeti la mwananchi la Leo? Una maanisha hata yule mwandishi ni muongo, na hata maripota kadhaa wa magazeti walioripoti tulip holo la wafuasi wa chafema kushambulia viongozi wa CUF kuwa waongo? Shame on you too dada yangu....ati unasema natafuta CHEAP POPULARITY....wewe umenijuaje Mimi? Unataka kuniambia kwa nafasi yangu nahitaji wananchi wanifahamu zaidi siyo.....kama hawanifahamu tayari wewe umenifahamuje! JENGA HOJA MAMA YANGU NA IWE NA HEKIMA ZAIDI.
   16 minutes ago · Like

  • [​IMG]
   Beatrice John Tena ngoja nikupe ukweli mtatiro juzi kiongozi wenu mmoja amemfuata kamanda noor eti ajiondoe chadema cause ni chama cha kikristo ajiunge na cuf chama cha kiislam kabla mlianza kampeni misikitini na uchahidi tunawao weka ushahidi wa chadema kuwapiga mawe na mimi na weka ushahidi kweupe kweli nyie ccm b mnatumia strategy za ccm igunga
   14 minutes ago via mobile · Like

  • [​IMG]
   Ndenje Fernandes Why isiwe CCM walorusha mawe,kweli hii ni CCM-B
   6 minutes ago via mobile · Like

  • [​IMG]
   Goodluck Mtenga beatrice kumbe we mkali hivyo!!!!!
   
 2. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  CUF wamenza ruhsa bendera mbaya..Chadema huwa hawaingilii mikutano ya watu.HIi ni hila yenu,mumfurahishe mpita usiku JK.
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Chadema inaionea wivu cuf?!? Kwa lipi?
   
 4. Expedito Mduda

  Expedito Mduda JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Mwenzenu si amini kama huyu ndio mtatiro wa miaka ile. Nahisi amekuwa kipofu vile.
   
 5. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  SSM wameanza kutumia CUF halafu wanapandikiza wachochezi. How can you term wamachinga wote ni Chadema? Akili ndogo sana hii. CDM ni calm mno na hawataki fujo za kina CUF na SSM?
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,688
  Likes Received: 12,725
  Trophy Points: 280
  Hizo reply alizo pewa mtatiro zina mtosha sana muache!
   
 7. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,092
  Likes Received: 11,227
  Trophy Points: 280
  tuanze na M4C kwa nguvu zote hadi 2015.
   
 8. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,046
  Likes Received: 7,257
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda hii hapa,

  V4C = Vibaraka for Change
   
 9. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,760
  Trophy Points: 280
  Kumbe mtatiro ndo anajibishana na watu kwenye faisibuk kitoto namna hii???

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 10. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,046
  Likes Received: 7,257
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda hii hapa,

  V4C = Vibaraka for Change
   
 11. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Washakuwa ngunguri sio ngangari tena.
   
 12. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Maneno ya mkosaji hayo!!!!
   
 13. Wild fauna

  Wild fauna JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  We upo huko dar afu unakurupuka kutoa taarifa ambazo huna tafiti nazo,ni kweli walipopolewa mawe na mie nilikuwepo eneo la tukio.
  Chanzo ni hivi:
  wamachinga walikua wanagawana viwanja/vijisehemu vya biashara soon likapita fuso lenu la matangazo likawa linazunguka lile eneo sababu watu walikua wengi sana. watu wakaanza kuwaonyesha alama ya V.
  After that washereheshaji wenu(cuf) wakaanza kuwatukana watu kwa kuwanyooshea middle finger huku wakichovya vidole vyao mdomoni then wanawaonyesha watu,i hope you read me the scenario i demostrate in your mind. Sasa mtatiro hapo unasemaje?
  Hayo mawe walikuwa yamekusanywa uliyaona au ndio secondary data zimekuzuzua??
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,865
  Likes Received: 6,216
  Trophy Points: 280
  poor cuf......
   
 15. naumbu

  naumbu JF-Expert Member

  #15
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 3,298
  Likes Received: 3,756
  Trophy Points: 280
  Naona huyo dada Beatrice amekomaa naye sana,alaf huyo dada kwa point zake tu atakuwa ni member mmoja hiv wa jf toka AR anapatikana kule MMU
   
 16. C

  Complex number JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 219
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Wa-fb na ma-great-thinker,wote tusubiri ushahidi. Yetu macho!
   
 17. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #17
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  oya...Beatrice umo humu? mmmwaaaaaaaaa!!! hebu weka huo ushahidi hapa tuwajue vizuri hawa ndugu zetu  [​IMG]
  Beatrice John Tena ngoja nikupe ukweli mtatiro juzi kiongozi wenu mmoja amemfuata kamanda noor eti ajiondoe chadema cause ni chama cha kikristo ajiunge na cuf chama cha kiislam kabla mlianza kampeni misikitini na uchahidi tunawao weka ushahidi wa chadema kuwapiga mawe na mimi na weka ushahidi kweupe kweli nyie ccm b mnatumia strategy za ccm igunga
  14 minutes ago via mobile · Like   
 18. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #18
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Umekubali kuwa wafuasi wao ni wahuni. Sisi tuliwajua mapema. Kwetu ushindi upo pale pale 2015. Ikulu haichukuliwi na dogs.
   
 19. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #19
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,559
  Likes Received: 1,648
  Trophy Points: 280
  Duh huyu ndio majeruhi wa JICHO
   

  Attached Files:

 20. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #20
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mtatiro ana uhakika gani kama cdm ndo wamefanya hayo,huo ni unafki mkubwa sana!
   
Loading...