mangi waukweli
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 246
- 27
KAPIGWA JINI SUBIANI KUTOKA PEMBA anainusuru roho yake amelikoroga ameicheza ngoma si yake kwa kumkamia HAMAD RASHIDI mpaka amefukuzwa uwanachama yupo zanzibar wanaangaika kumtoa hillo JINI maana mafundi wa hapa wameshindwa linataka liondoke na mganga