Mnatafuta wachawi tu yani Haki watafute wengine mseme kuna watu waliratibu achaeni uzwazwa mfano leo ukinyimwa haki ulitaka ukaongozwe na janury ujue haki yako.Inasemekana ana mkono kwenye issue ya 29 October. Eti ni miongoni mwa sponsors wa gen Z.
Hatununui huu uongo mazee. Na habari za January kawaulize washirika wake wakina Nape, Kikwete, Kinana na Baba yake Mzee makamba au wakina ummy sisi wengine hazituhusu.Inasemekana ana mkono kwenye issue ya 29 October. Eti ni miongoni mwa sponsors wa gen Z.
Hamna kitu kama icho GenZ wanachukia utekaji na MauajiInasemekana ana mkono kwenye issue ya 29 October. Eti ni miongoni mwa sponsors wa gen Z.
Achana na hizi tabia za kike (kama wewe ni mwanaume lakini). Niamini mimi! Hazitakusaidia chochote! Wala kukufikisha popote.Huyu jamaa toka jina lake likatwe huko ccm sijamsikia tena.
Hata kutoa pole kwa waliokufa kwenye maandamano hajatoa.
Hivi yupo kweli?
"Inasemekana ana mkono kwenye issue ya 29 Ictober. Eti ni miongoni mwa sponsors wa genZ"Inasemekana ana mkono kwenye issue ya 29 October. Eti ni miongoni mwa sponsors wa gen Z.
"Madaraka ni kama koti la kuazima" -JMHuyu jamaa toka jina lake likatwe huko CCM sijamsikia tena.
Hata kutoa pole kwa waliokufa kwenye maandamano hajatoa.
Hivi yupo kweli?
Mkuu,unajuaje kua ndoto zake zote zimeisha?"Madaraka ni kama koti la kuazima" -JM
Kauli iliyopoteza dira ya February Marope mpaka sasa hajulikani yupo wapi na ndoto zake zote zimeisha.
Ndoto yake kubwa ni kuwa "rais" wa JMT ili kufanikisha ndoto zake nyingine ,sasa "urais" basiiiiiiiii amekwisha.Mkuu,unajuaje kua ndoto zake zote zimeisha?
Wewe unazijua ndoto zake zote?
Acha roho mbayaas kwa kuhisiInasemekana ana mkono kwenye issue ya 29 October. Eti ni miongoni mwa sponsors wa gen Z.