Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 42,492
- 105,086
Na wewe wewe alikuomba??!!!
Duhh..ah wapi! sikutan nae mara nying anapunguzaga mwendo mie huyooooooooooooo

Na wewe wewe alikuomba??!!!
Duhh..ah wapi! sikutan nae mara nying anapunguzaga mwendo mie huyooooooooooooo

Aiseee....huhu hata kama !wanipite tu!mbn najilea mwenyew n life linasonga!kwa yuke ah wapi ! ana sura chachuuuuuuuuuuu

Ha ha ha haaaaa.......uwiiiiii hyo nn lugha gongana mweeee wacha hyo weye weka kiswahili bhanaMzee wa ngunguri namkumbuka sana kwenye propaganda yake ya kontena la visu aina ya majambia alilotaka kuaminisha umma kuwa lililetwa na Cuf kwa ajili ya kuvuruga amani ya nchi......poor are u Mahita
Hata Lipumba naye ni Muslim mwenzenu!Kawaida yetu Waislamu tunapo staafu hatunaga Mbwembwe.
Kweli kabisa hata Mwema bora SirroJamaa alikuwa amekaa kimafiamafia, nashangaa maIGP sahivi warembo tu hata huwezi dhani maIGP, kama yule Mangu alikuwa mpole sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna, siyo mada chef cooker. Hahahaa. Huwezi jua anachokitaka ama anachokifuata kwa hao wanawake. Kila mtu ana interests zake kwa wanawake. Kwa hiyo kumbe kuna hadhi ya wakutoka naye eee.? Mimi naamini hadhi haijalishi katika mambo ya mahusiano, what matters ni upendo.
Hata Lipumba naye ni Muslim mwenzenu!
Yupo MorogoroHuyu Mbabe sijamsikia kwa kipindi kirefu, mwenye kujua taarifa zake aje atujuze.
Baada ya tukio la Anne Kilango Malecela (mikese) nadhani aliwageuka wazeee wa kaziKati ya ma IGP wa hovyo waliowahi kutokea ni huyu Mzee.
Mzee wangu mmoja marehemu enzi hizo akiwa "mzee wa kazi" alikuwa rafiki sana wa huyu jamaa.
Kwa kifupi alikuwa na urafiki sana na "wazee wa kazi".
mhh kuna wanaume bwana mbn wanabagua kbs wanawake wakutoka nao?? huyu habagui! anachefua sana yaan anawadhalilisha sana wake zake!... binafs ningekuwa mwanamume mie nisingetembea na mwanamke mchafu,huez nielewa!...
We mbona unatoa sana povu??...yawezekana na wewe ni victim wa harakati za zake...sio kwa povu hilo we kama alikugonga akakuacha na maumivu tulia hivyohivyo dawa ikuingie
Mkuu hebu tiririka hilo tukio,sisi wengine enzi hizo tulikuwa Samvu la Chole tunalima viazi mbatata.Baada ya tukio la Anne Kilango Malecela (mikese) nadhani aliwageuka wazeee wa kazi
Wasasa sio mpole sana na sio mbabe, ni muungwana pia.Wa sasa vp mkuu
Aliliwa mzigo huyo mama na hao wazee wa kazi walivyomtekaM
Mkuu hebu tiririka hilo tukio,sisi wengine enzi hizo tulikuwa Samvu la Chole tunalima viazi mbatata.