Yuko wapi IGP mstaafu Omary Mahita?

Yuko wapi IGP mstaafu Omary Mahita?

Ndio maana tunauliza kwa maana umemshangaa anachukua wanawake wabovu ina maana wewe ukobfresh sasa alivyojaribu to hit on you ambaye ni bomba matokeo yalikuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app

hahaha sijawah kutana nae hv ana kwa ana...namanisha wabovu kwann unatemea na kila mwanamke!una shida gan ww... lol! unaona kbs huyu mwanamke ht life lake la kudanga unatemea nae unajipend ahujipend! unaona kbs huyu ht ngz yake inaoensha majanga we nae unatumbukia humo! bas mie ni mshamba
 
Anatembea na kila mwanamke sababu yeye ni mwanamme. Mwanamme huwa haridhiki na mwanamke mmoja. Na that is nature.
 
huyu jamaa ni mbulu ila alilowea moro so atakuwa manyara au moro,
aliwambiaga cuf kama wao ngangari bhas polisi ni ngunguri yan alikuwa mbabe sana huyu bwana
pia nakumbuka miaka ile wauza gongo waliheshimika kwakuwa na mama yake alikuwa mtengenezaji gongo na kila mahita alipomkataza mama yake mama alimwambia hii ndio biashara iliyokufanya leo unatembea ukilindwa na defender
 
Anatembea na kila mwanamke sababu yeye ni mwanamme. Mwanamme huwa haridhiki na mwanamke mmoja. Na that is nature.

mhh kuna wanaume bwana mbn wanabagua kbs wanawake wakutoka nao?? huyu habagui! anachefua sana yaan anawadhalilisha sana wake zake!... binafs ningekuwa mwanamume mie nisingetembea na mwanamke mchafu,huez nielewa!...
 
Mwanamke mchafu ndo yupoje.? Mbona ninyi kwa ninyi hampendani jamani.?
 
sasa wewe unaleta mada 2 kwa wakat m1.. binafs siwez mchukia mwanamke mwenzangu... nipo easy sana mm aic!... kuna vitoto katembea navyo uwii anywys huez nielewa nikisema mwanamke mchafu asie na hadhi ya kutoka na boss km yule.... had unajiuliza huyu mzima? mie nehi
 
Hamna, siyo mada chef cooker. Hahahaa. Huwezi jua anachokitaka ama anachokifuata kwa hao wanawake. Kila mtu ana interests zake kwa wanawake. Kwa hiyo kumbe kuna hadhi ya wakutoka naye eee.? Mimi naamini hadhi haijalishi katika mambo ya mahusiano, what matters ni upendo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom